Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

Anyway weka ushahidi huo tuone kama huyo Ibraah kafanya, maana mimi sijaona kamaalifanya. Pia kufanaya siyo kosa.
Vipi na huko Boomplay,Sportfy na Itunes Zuchu,Rayvany na Diamond wanalipia promo?

Maana Zuchu Sukari Boomplay kwa wiki kumi inaongoza Africa hapa napo walilipia promo.




Ravanny nae Sportfy Tetema ilipata stream zaidi ya milioni moja ndani ya miezi miwili Sportfy je walifanya hiyo promo sportfy?
 
Unalivua nguo ilo chawi linavamia vitu halijui 😂😂😂
 
warumi Unaposema diamond anamuonea wivu kondeboy ninashindwa kuelewa maana ukizungungumzia msanii mwenye viewers wengi youtube ni diamond Tena by far, ukizungungumzia mauzo ya miziki diamond yupo juu by far dhidi ya harmonize, harmonize hata top 4 hayupo hapa, ukizungungumzia shows kubwa za nje diamond ana show nyingi harmonize hata show moja Hana, ukizungungumzia label inayofanya vizuri Africa ni Wcb hiyo ya kondegang hata haifahamiki uposema anamuonea wivu kwa kitu kipi ikiwa kila angle ya music kaachwa Sana.Kuhusu kusema Wcb inamfuatafuata unaweza ukawa ufuatilii mziki vizuri tangu harmonize atoke Wcb diamond hajawahi kuzungumzia kabisa zaidi ya harmonize kuzungumzia Wcb mpaka akaanza kurusha vijembe kwenye nyimbo zake kama "ushamba" ujanikomoa" n.k baada ya vijembe kuzidi Sallam sk akaanza kumjibu harmonize ndio ugomvi ukaanza kuwa mkubwa.Kingine kinachonishangaza ugomvi binafsi wa Rayvanny vs Harmonize unamwingiza diamond ili mpate content ikiwa jamaa kakaa kimya.
 
kiufupi mashabiki wa huko wasafi wengi ni matahira na wanakulaga kwao
sambamba na mnyakyusa amefanya move ya kipuuzi sana anatumiwa bila kujijua acha aone mwisho maana hata kujisimamia hajui tofauti na mmakonde
 
Aisee, umeandika gazeti sana
 
huu mwaka diamond asipokuweka madale ndio basi tena sahau bahati yakuolewa tena
 
Nimekuambia hivyo kwa sababu hoja unazitoa kutetea kondegang zinakosa mashiko( hoja ni dhaifu) tatizo sio kuwa ni mshabiki wa kondeboy au Wasafi au wa mziki huo ni Uhuru wa mtu binafsi tunachoangalia hapa hoja zenye nguvu.
 
All in all harmonize anawanyima usingizi crew Nzima ya wasafi, and he is just one guy , wanataka kumuona akishuka too bad Mungu sio juma Harmo Kila Siku nyota yake inazid kuwaka juu , huyu mmakonde kamzid domo ujanja
Yaani kile walichokuwa wanalalamikia kufanyiwa na clouds ndicho wanachofanya sasa. Ila kwakuwa wana mashabiki vichwa maji wanasupport tu kila ujinga.
 
It is called business
 
Thinking ya hovyo sana hii

Umejaribu kuchambua Kampuni inayofanya Stratretic Plan nzuri then instead kuisifia umeiponda.

Umeonesha kampuni inayofanya Branding yake Primitive kama wako zama za mawe then ukaisifu.

Kichwa kinachowaza kwa namna hii kinapaswa kibinywe na winji hadi kupasuke.
 
Hata kam yanaenda je ni bora kuliko wew?
 

Mwamba nakubaliana na ww kwa asilimia 100% kulala hotel kubwa dubai kwa wiki tu Its not easy. Mm binasf napigana nao vikumbo kila kukicha tembo hotel deira na hotel za pata sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…