Why should I confess?

Why should I confess?

Sijui hata niandikaje lakini naandika huku naogopa,. Naandika huku najiuliza why am writting this?😃
Coz this is chai
0a6b7f030c7261b762923478d900031c.jpg
 
Tatizo watu wa humu watatumia kama fimbo siku isiyo na jina..
Biashara zao ni hizihizi tu za kawaida maduka ya nguo viatu. Vipodozi mwingine home decorations na vitu kama hivyo

Sijui nisemeje lakini huwa wananishawishi kufanya vitu vya kijinga japo kwa akili sana,.
Lakini hawajafanikiwa
Wana ku shawishi kufanya vitu vya kijinga kama Vipi yaani?
 
Mmh,bado sielew

Kweli wew ni mtoto wa kisabato na hakika hawatakuweza maana hata kuandika tu mambo yao umeona kama ni dhambi

Bado mungu yupo na wewe

Sisi ambao tumeshaleft church mambo madogo kama hayo huwa tunatamka tu mfano kisimi kinembe
Duuuh,.
Sema watu wa humu hawana dogo
 
Tatizo watu wa humu watatumia kama fimbo siku isiyo na jina..
Biashara zao ni hizihizi tu za kawaida maduka ya nguo viatu. Vipodozi mwingine home decorations na vitu kama hivyo

Sijui nisemeje lakini huwa wananishawishi kufanya vitu vya kijinga japo kwa akili sana,.
Lakini hawajafanikiwa
We Umesha sema wapaka bleach, Wana tattoo, vipindi.

Mara vipato vyao na biashara havi endani, hao ni street retailers 😂🤣
 
Back
Top Bottom