Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

Wewe endelea kujidanganya mkuu, tena watoto wa international wajanja vibaya mno wako ki international zaidi si kama sisi kayumba tunakomaa na mifumo ya elimu ya 1970 huko.
 
Unasemaje IST Ni mfano usio na uhalisia wakati shule ipo hapa hapa Tanzania,

Wazazi tuko nao humu humu mitaani na watoto wao wako pale IST wanasoma.

Au IST nayo sio private school?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina uhakika sana na hili ila kwa navyojua mimi ISM haitumii mtaala wa elimu wa hapa tz. Kwa mwenye kujua zaidi atujuze zaidi.

Suala la mafanikio ya mtu halihusiani kabisa na aliposoma, kuna ambao hawajasoma hata kayumba na wamefanikiwa sana.
 
Wenyewe hakuna waliposema kuwa wamefanikiwa,wewe unawasemea.

Wewe mtoa mada umejuaje kuwa wao wamefanikiwa ?

Mafanikio ni kufikia malengo ambayo mtu amejiwekea,wao hujui wamejiwekea malengo gani.

Kuwa na pesa sio mafanikio kwa kila mtu,ili ujue mafanikio ya mtu lazima ujue alikuwa na azma gani.
 
Sina uhakika sana na hili ila kwa navyojua mimi ISM haitumii mtaala wa elimu wa hapa tz. Kwa mwenye kujua zaidi atujuze zaidi.

Suala la mafanikio ya mtu halihusiani kabisa na aliposoma, kuna ambao hawajasoma hata kayumba na wamefanikiwa sana.
Ndo maana nkwamwambia mtoa mada,

Kama anahitaji elimu Bora,

Aachane na ayo mawazo ya TUSIIME Wala KAYUMBA.

Apeleke Mtoto tu pale IST.

Vinginevyo, aseme TU kua mkwanja hautoshi.

ILA UKWELI UTABAKI PALE PALE, Kua kule international schools ndo Kuna elimu Bora.

Na mifano ipo ya kina MO DEWJI, ROSTAM n.k walopita uko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo humu watu mnajikuza sana... ada ya tusiime wasi wasi ila mnaongelea IST kama mnasomesha watoto huko vile. Umeona walimu wa IST wanalalamika hawajalipwa kisa corona?

Soma uzi wangu vizuri aya ya mwisho irudie kuisoma
Mkuu tusiime sio international ungesema tu ni private school labda hatukuelewana vizuri ndo maana. International school si mchezo nakumbuka kipindi niko sekondari tulienda pale ISM ndipo nilijua watu wanasoma wengine tunasindikiza. Watoto wa pale hawana stress kabisa, sio sisi mwanafunzi ana stress, mwalimu nae stress kibao😁😁😁😁. Nakumbuka nimeingia mule stress zote zimekata haha naona watoto wanavyocheza na farasi vile wapo humble sio sisi kutwa nzima mtoto anakimbizana na mwalimu
 
Wewe endelea kujidanganya mkuu, tena watoto wa international wajanja vibaya mno wako ki international zaidi si kama sisi kayumba tunakomaa na mifumo ya elimu ya 1970 huko.
Na Mimi nakazia hapo,
Tatizo tulilokua kua nalo hapa Ni mfumo wa elimu.

Mfumo unaongelea mpaka mitaala ya elimu.

Elimu tunayojifunza KAYUMBA na hao TUSIIME kuja kufanya mitihani ya NECTA imepitwa na wakati.

Ndo maana kwa elimu yetu hii sio ajabu,
Kumkuta ana PHD/MASTERS ya pale mlimani afu yupo yupo tu Hana RAMANI mtaani.

Ni kwasababu TU, elimu aliyonayo hajui haifanyie nini.

Kwahyo
Ukiona mtu katoboa kwa mfumo wetu huu,

Basi Kajiongeza kivingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaishia kuleta orodha ya matajiri wa mali za wizi,mafisadi,wauza ngada na waliopewa mikataba ya rushwa na viongozi mafisadi wa serikali.

mustapha karamagi aliumbuka bungeni kwa kupewa bandari afanye anavyotaka.anapewa mkataba juu ya mkataba.

kuna tajiri mmoja hapo kauziwa magodown kwa milioni 3 pamoja na eneo lake zaidi ya sq mita 200.baada ya kuuziwa kifisadi kaweka hayo mogodown kama bond bank kapewa mikopo ya mabilioni kaongeza kiwanda.

kwenye hao matajiri kuna muuza ngada alikuwa analeta unga kisha anasafirisha fedha ndani ya kontena zinapakiwa kwenye meli zinatoroshwa.
sio kila tajiri alitajirika kihalali kuna wezi,wazulumati,wauza ngada,wauwaji n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nastaajabu kuona ata tabia za ovyo za ushoga ndipo zinatokeaga kwa asilimia fulan tofaut na kuona shule za kayumba kuna shoga. Mara waali wAnawafanyia michezo mibaya watoto bad vurugu tu
Wewe endelea kujidanganya mkuu, tena watoto wa international wajanja vibaya mno wako ki international zaidi si kama sisi kayumba tunakomaa na mifumo ya elimu ya 1970 huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Nitajie basi Tajiri yeyote unaemjua asie na skendo hapa bongo.

Unatakiwa kufahamu kua,
Ukishakua na PESA lazima TU watu watasema juu Yako.


Na hayo ulosema ya mikataba ya kifisadi,Rushwa n.k

Kamwe Huwez kuyafanya ukayaweza ukiwa na elimu ndogo kichwani.

Kwahyo,
Suala lazma litabaki pale pale.

ELIMU BORA NDO MSINGI WA MAFANIKIO.

Na elimu Bora utaipata kutoka shule Bora, mitaala Bora,waalimu Bora, wanafunzi wenzio Bora na mazingira Bora.

Tutafuteni hela wakuu, TUSILETE VISINGIZIO HAPA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwelii mambo mengi ya nini cha mno tutafute pesa wanetu wasome hizo shule tutavuna jasho tulilolipanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako umeamini kua ili uonekane umesoma engineering,Medicine au law Ni lazima uonekane umeajiriwa na SERIKALI au KAMPUNI.

Wenzio wanaosoma huko IST, wakishamaliza hawana mawazo hayo ulokua nayo wewe

HAPO ndo tofauti ya KIJANA WA IST na kayumba inapoonekana MKUU.

HATA JINSI YA KUWAZA LAZIMA MTATOFAUTIANA TU.

Ndo maana nkasema, ili tatizo liko kimfumo tu wa uandaaji wa Mtoto kielimu.

Watoto Hao wa Tussiime na KAYUMBA kichwani wote ni wale wale TU, tofauti yao Ni Ada wanayolipa.

Mtoto wa international Ni tofauti kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nastaajabu kuona ata tabia za ovyo za ushoga ndipo zinatokeaga kwa asilimia fulan tofaut na kuona shule za kayumba kuna shoga. Mara waali wAnawafanyia michezo mibaya watoto bad vurugu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushoga upo kila sehemu sio international sio kayumba. Ushoga ni hulka tu ya mtu, tofauti ni international wanachukulia kawaida. Sio huku kwetu kayumba ukiwa na relationship na mtoto wa kike kazi unayo😂😂. Ushoga upo kila sehemu mkuu hilo halipingiki utofauti ni jinsi sisi tunavouchukulia na wao wanavyochukulia
 
Mtoa mada aseme TU ukweli, Usawa unabana.

Ila Kiukweli matunda ya INTERNATIONAL SCHOOLS yanaonekana hata kwenye maisha yetu ya kawaida.

Vijana wapo wengi TU hapa dSm, wamesoma international schools.

Wako kibao posta wanafanyakazi kwenye makampuni makubwa makubwa ya kimataifa wanatengeneza PESA.

Wengine wako hapo k'koo, Buguruni na bandarini wanasimamia BIASHARA KUBWA KUBWA TU.

Ukibahatika hata KUKAA nao,
HATA maongezi Yao unaona kabisa wanakitu Cha ziada vichwani mwao.

HATA MIPANGO YAO YA KIFEDHA, IKO KIMATAIFA MATAIFA ZAIDI.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
TUSIIME Ni KAYUMBA iliyochangamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…