Mkuu,
Nitajie basi Tajiri yeyote unaemjua asie na skendo hapa bongo.
Unatakiwa kufahamu kua,
Ukishakua na PESA lazima TU watu watasema juu Yako.
Na hayo ulosema ya mikataba ya kifisadi,Rushwa n.k
Kamwe Huwez kuyafanya ukayaweza ukiwa na elimu ndogo kichwani.
Kwahyo,
Suala lazma litabaki pale pale.
ELIMU BORA NDO MSINGI WA MAFANIKIO.
Na elimu Bora utaipata kutoka shule Bora, mitaala Bora,waalimu Bora, wanafunzi wenzio Bora na mazingira Bora.
Tutafuteni hela wakuu, TUSILETE VISINGIZIO HAPA.
Sent using
Jamii Forums mobile app