Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

Yeah! Ila angerudisha ela yangu mipia nime ipatia maumivu..
 
Nilichogundua vitu vya kuchanga ni vigumu lazima mmoja aww ndy mkuu wengine muwe wafuasi,
 
Faza Hausi nae mnoko! unataka kutumia huduma usiyoilipia?, Kiungwana tu angekurudishia hiyo pesa yako uliyochangia mununuzi ya Wi-fi ili iwe mali yake mazima
 
WIFI ya kuchanga ni migogoro tu, nakushauri pambana uchukue yako ,mtaendelea kugombana tu mwisho akupe notice ,maana sio siku zote utakua una hela ya kuchangia,
mpangaji mwisho wa mwezi unachanga 1.umeme,2,
 
Yeah! Ila angerudisha ela yangu mipia nime ipatia maumivu..
Hii comment ina ashiria kua,wewe jamaa una nongwa sana,halafu una roho ngumu na mbaya sana,

Naamini kua,mwenye Nyumba mpaka kufikia kubadili Password,ni lazima kuna maneno ya shombo uliyomtolea,ungeongea nae kiungwana na kwa heshima,angeweza kukuvumilia hata miezi mitatu coz uwezo wa kulipa peke yake anao,

Jifunze kuishi na watu kwa heshima na adabu na kwa maelewano,ipo siku unaweza kupata tatizo linalohitaji kupelekwa Hospitali ila wakakutelekeza coz ya nongwa yako na mdomo wako,

Jenga maelewano mazuri na watu unao ishi nao,

AU nakosea ndugu wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…