Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

Zijasoma comments za huu uzi lakini najua lazima kutakua na mambo ya "TAFUTA HELA....."
 
Kwa jinsi navyo ona argument ya mwanzisha uzi nadhani atakuwa gen Z maana hawa wadogo zetu kwa manung'uniko wako juu sana, uwezo wa kufikiri wako chini sana


Yaani unataka utumie kitu haujalipia sasa inawezekanaje ?




Ile kwamba ulishiriki kununua haina maana kwamba sasa utatumia bila kulipia running cost
 
Mpangaji anamsimanga mwenye nyumba,,, kama kaweza kulipia mwezi mzima bila mchango wako, unahisi anashindwa kuongeza 30000 akanunua router nyingine we ngumbaru?
 
Bado najiuliza huo ujasili wa kushirikiana na faza house kwa namna hiyo umeutoa wapi
 
Back
Top Bottom