Huyu ajipange akapange nyumba isiyo na wapangaji wengi ajitegemee kila kitu tu! Anaonekana hapendi tabu tatizo mpunga!Mimi binafsi wapangaji niliwakatalia WIFI ya kuchangia , na niliwaambia tutakuja kugombana kwa kitu kidogo, kama WIFI
maji,umeme,king'amuzi,ulinzi shirikishi,takataka .hivi vyote vinalipwa mwisho wa mwezi, sasa kama WIFI tu inamshinda ,
Kama ulihitaji ushauri tu,mbona tena unaleta hoja,sijui eti akurudishie hela zako?Najua mkuu ila nilikuwa naitaji tu ushauri na kujua wenda yey maamuzi yake yuko sahihi au laa
huyu najiuliza WIFI anachelewa kulipa sijui, huduma zingine hapo kwao kama anazilipa kwa wakati, namshauri anunue tu router yakeWewe una shida mahali. Nakushauri tafuta nyumba ingine.
huyu najiuliza WIFI anachelewa kulipa sijui, huduma zingine hapo kwao kama anazilipa kwa wakati, namshauri anunue tu router yakeWewe una shida mahali. Nakushauri tafuta nyumba ingine.
Ok, huyu anayelalamika hana mkono? Kama anao hawezi kuukunja kutengeneza ngumi? Kama anaweza hana nguvu za kurusha ngumi? Kama anaweza, kwa nini hajarusha?Papii njoo utoe mawazo yako
secretarybird
Sasa ungeeleza hivi toka mwanzo tusingefikia huku! Achana nao, tafuta nyingine mbona wifi zipo kibao tu na ni cheaper?Naanawapa password ata ambao awajalipia asa kunaaja gani ya mimi kunilipisha na nnahisa zangu
Saingine anaowakunjia wanamzidi nguvu🥲Ok, huyu anayelalamika hana mkono? Kama anao hawezi kuukunja kutengeneza ngumi? Kama anaweza hana nguvu za kurusha ngumi? Kama anaweza, kwa nini hajarusha?
Aache umama, hiyo wi-fi ni yake pia 😎
na hilo ndio suluhisho la sivyo atakuja kila siku humu kulalamika, apange stand alone,aweke WIFI yake ajiachieHuyu ajipange akapange nyumba isiyo na wapangaji wengi ajitegemee kila kitu tu! Anaonekana hapendi tabu tatizo mpunga!
Unakosea me kumjibu mtu shombo ningumu alfu ishtoshe mwanzo tulikuwa tunaongea fresh mpka kufikia hatua hiyo ya kununua Router ila yeye akaji binafsisha kisa mimi nili shindwa kuchangia mwezi mmojaHii comment ina ashiria kua,wewe jamaa una nongwa sana,halafu una roho ngumu na mbaya sana,
Naamini kua,mwenye Nyumba mpaka kufikia kubadili Password,ni lazima kuna maneno ya shombo uliyomtolea,ungeongea nae kiungwana na kwa heshima,angeweza kukuvumilia hata miezi mitatu coz uwezo wa kulipa peke yake anao,
Jifunze kuishi na watu kwa heshima na adabu na kwa maelewano,ipo siku unaweza kupata tatizo linalohitaji kupelekwa Hospitali ila wakakutelekeza coz ya nongwa yako na mdomo wako,
Jenga maelewano mazuri na watu unao ishi nao,
AU nakosea ndugu wananchi?
na ndio dawa, WIFI hadi 50k zipo bado unadandia za watu ?Sasa ungeeleza hivi toka mwanzo tusingefikia huku! Achana nao, tafuta nyingine mbona wifi zipo kibao tu na ni cheaper?
Amejaribu? Lazima ajaribu, akishinda ndo aje kuomba msaada kwetu 😎Saingine anaowakunjia wanamzidi nguvu🥲
Nakushauri hama hapo na uende ukapange kwenye Nyumba ya mzee wako anayo ipangisha,Unakosea me kumjibu mtu shombo ningumu alfu ishtoshe mwanzo tulikuwa tunaongea fresh mpka kufikia hatua hiyo ya kununua Router ila yeye akaji binafsisha kisa mimi nili shindwa kuchangia mwezi mmoja
Mzee wangu awezi akawa mwenyenyumba mkuu mzee wangu yeye anaishi kinyerezi na ndo ananyumba za kupangisha mimi najitegemea nimepanga bananaNakushauri hama hapo na uende ukapange kwenye Nyumba ya mzee wako anayo ipangisha,
VAR
Habari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu...
- Koloko
- chumba dalali mtu mzee shoga wangu
- Replies: 136
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Huenda alipo huduma haijafika!na ndio dawa, WIFI hadi 50k zipo bado unadandia za watu ?