Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

Nakushauri hama hapo na uende ukapange kwenye Nyumba ya mzee wako anayo ipangisha,

VAR

Mzee wangu awezi akawa mwenyenyumba mkuu mzee wangu yeye anaishi kinyerezi na ndo ananyumba za kupangisha mimi najitegemea nimepanga
Sasa ungeeleza hivi toka mwanzo tusingefikia huku! Achana nao, tafuta nyingine mbona wifi zipo kibao tu na ni cheaper?
Hiyo ndo solution
 
Yani una taka kula chakula ambacho hujakichangia kama makubaliano yenu yalivyokua,kisa tu kwa vile ulihusika kwenye ununuzi wa sahani yakupakulia hicho chakula?

Hujaitwa kula coz hujachangia,So,utasema basi urudishiwe hela yako uliyo changia kwenye ununuzi wa Sahani iliyotumika kupakulia hicho chakula?
Hawa ndio wale siku ikiwa zamu yake kununua umeme anarudi saa sita usiku kwasababu anajua kuna mtu fulani hawezi kuvumilia giza atanunua.
 
Kama mkuu una ulazima nayo wakuitumia lipia tu ..km unaona una ulazima au hali n ngumu nikushauri tu tafuta kwanza hela uwe na uwakikaa wakula na kunywa kwa uwakika ndio mambo mengine uyafikiri
 
Mkuu kupunguza maneno wewe deal na Savannah kama wamefika mtaani kwenu, uchumi sio mzuri ila mtu kukunyanyasa kisa kitu Fulani inakera sana.
 
Back
Top Bottom