Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

Mzee wangu awezi akawa mwenyenyumba mkuu mzee wangu yeye anaishi kinyerezi na ndo ananyumba za kupangisha mimi najitegemea nimepanga
Sasa ungeeleza hivi toka mwanzo tusingefikia huku! Achana nao, tafuta nyingine mbona wifi zipo kibao tu na ni cheaper?
Hiyo ndo solution
 
Hawa ndio wale siku ikiwa zamu yake kununua umeme anarudi saa sita usiku kwasababu anajua kuna mtu fulani hawezi kuvumilia giza atanunua.
 
Kama mkuu una ulazima nayo wakuitumia lipia tu ..km unaona una ulazima au hali n ngumu nikushauri tu tafuta kwanza hela uwe na uwakikaa wakula na kunywa kwa uwakika ndio mambo mengine uyafikiri
 
Mkuu kupunguza maneno wewe deal na Savannah kama wamefika mtaani kwenu, uchumi sio mzuri ila mtu kukunyanyasa kisa kitu Fulani inakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ