Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

Inawezekana hizo nyimbo huwa zinamkumbusha huko nyuma alivyopigwa matukio na wahuni labda kabla yako, Muulize tu vizuri
 
Mkuu, anayechukia ni mkeo, ufafanuzi wakupe wajuz!

Tz si ni kisiwa cha Amani? We uko wapi kwani? Kama issue ni panya road, hao no dk chache tu, la nenda hata pale Buguruni Polisi, UTAIPATA AMANI pale
Uko nje ya mada mkuu
 
Aliyeandika hii thread hawezi kuwa mwanaume. Yaani hapo wamekutana wanawake wawili wanaishi pamoja na badala ya kupashana kwa khanga sasa wanatumia nyimbo..... Akiwepo mwanaume huu upuuzi huwezi usikia.
Atauzuiaje huu upuzi ??
 
Mkuu, anayechukia ni mkeo, ufafanuzi wakupe wajuz!

Tz si ni kisiwa cha Amani? We uko wapi kwani? Kama issue ni panya road, hao no dk chache tu, la nenda hata pale Buguruni Polisi, UTAIPATA AMANI pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asante
 
Back
Top Bottom