Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

Kumbe Kula wote inakuaga mwanzoni tuh😂😂
msipokaza vingi vinaishia mwanzoni.
Yaani miaka ikizidi kwenda hapo kwenye kula wote panabadilika inakuwa gombea nyama.......

ni kuviziana mama anajifanya kupakulia watoto huku akijirundukia mipaja baba anaambuali papatio anabaki kusonya tu huku akimezea sahanj ya mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…