mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Acha ale mzigohatoboi uyo wife
Acha ale mzigohatoboi uyo wife
Na wakumfungulia mlango hayupo...
atengeneze geti liwe flexible kwake kufungua, awe na funguo za akiba za milango yote na akiingia ndani anyate ahakikishe sishtuki kwa namna yoyote ile!!
siku hizi hatuharibu usingizi wetu kusubiria wazee wanao zurula usiku.
uko vizuri mdogo wanguMimi Kwenye Mambo Ya Mageti Nilishamwambia Funga Muda Wowote,,
I AM SPIDERMAN,,Ukakamavu Wa Kimaisha Kiujumla Na Kupitapita Kunolewa Huko Kwa Wazee Wa Ukakamavu,,Swala La Kukwekea Maukuta,,Mageti Ukitaka Hata Nikwee Mnazi,,Hizo Kwangu Wala Si Shida Zangu....
uko vizuri mdogo wangu
Nawaroga wote wawili 😎Wakati yakianza hayo tuu unatafuta mchepuko chaaap
Hahaha hapo sasa ukiniroga tuu mcheps anapanda cheoNawaroga wote wawili 😎
Mtu mwenyewe katokea Isenye lazima bado social networks bado zinamkaribisha Town akiziona za kawaida ataacha hata humu JamiiForums atapunguza mathread yake ya kila sikuKupost post sana kwenye social media nao ni tabia za kidemu. Wife wako anaona unamuaibisha. Anashindwa kwenda direct
Jikite kwenye kuandika points za msingiMtu mwenyewe katokea Isenye lazima bado social networks bado zinamkaribisha Town akiziona za kawaida ataacha hata humu JamiiForums atapunguza mathread yake ya kila siku
Huyo mke au Usalama wa Taifa😂🤣Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
Chai.Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
Piga kisungura hicho! Kichape mpaka asiwe na muda wa kukufuatilia!Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
Hapo..
Nitawachinja mnajiona!Hahaha hapo sasa ukiniroga tuu mcheps anapanda cheo
Unatisha mrembo 🫣😨😟😰Nitawachinja mnajiona!
Si ndio kwanini wanifanyie jeuri🤣Unatisha mrembo 🫣😨😟😰