Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

Umenena dadaake! Huyu awe mvumilivu tu watafika huko hakuna atakayemzigatia hata tai ikae kushoto! Saa hizi wana muda mpaka wa kufuatiliana sosho midia lol 😂
 
😁😁😁
Kweli kama ni mahusiano umefuzu.
 
Safi sana, ngoja akunyoshe kidogo...
Binadamu wa siku hizi hamna adabu, utashangaa unaomba ushauri mtandaoni mke wako usiku anajamba sana, ufanyeje kumziba...


Cc: Mahondaw
 
Umenena dadaake! Huyu awe mvumilivu tu watafika huko hakuna atakayemzigatia hata tai ikae kushoto! Saa hizi wana muda mpaka wa kufuatiliana sosho midia lol 😂

Wakati yakianza hayo tuu unatafuta mchepuko chaaap
 
Mwanaume unajipost post mara fb sijui insta mara unaingia tiktok.... ni ujinga kujipost, wife anajielewa ni kama anaona unamuaibisha sema hakuambii direct
 
Mwanaume unajipost post mara fb sijui insta mara unaingia tiktok.... ni ujinga kujipost, wife anajielewa ni kama anaona unamuaibisha sema hakuambii direct
Jielekeze kwenye mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…