Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

Mimi Kwenye Mambo Ya Mageti Nilishamwambia Funga Muda Wowote,,
I AM SPIDERMAN,,Ukakamavu Wa Kimaisha Kiujumla Na Kupitapita Kunolewa Huko Kwa Wazee Wa Ukakamavu,,Swala La Kukwea Maukuta,,Mageti Ukitaka Hata Nikwee Mnazi,,Hizo Kwangu Wala Si Shida Zangu....
​
 
Kupo kujipost kwa furaha na ukaribu wa wewe na jamii yako.

Tuanze unamiliki vipi social profiles zako?

Ingawa pia kusema hivyo,si lazma jamii tukuone unajipost hovyo)

ndio,kwani lazima ujipost?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…