Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
Huyo anasumbuliwa na wivu tu na mwanamke wa hivyo ni hatari sana huwa wanakuwa na maamuzi mabaya.ishi nao kwa ajili bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…