Wewe umemjulia hali huwa unampigia mkeo? mwenzio anampigiaga hapa hapo uliposikia wanaongea ni yeye ndiyo aliyempigia mkeweKwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.