KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Siku gani E..?We toa pole tu, siku yako yaja[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku gani E..?We toa pole tu, siku yako yaja[emoji1787]
Ya kuja kusema mengine majaaliwa[emoji1787][emoji1787]Siku gani E..?
Usinitishe mi nishakomaa kwenye hii fani..😊Ya kuja kusema mengine majaaliwa[emoji1787][emoji1787]
Kwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.
Kwa upande wangu, nikiishaondoka asubuhi home wife hana habari na mimi kabisa labda itokee tu emergency ndio anaweza kunitafuta. Yaani mimi naweza hata kukaa nje ya nyumbani mpaka usiku wa manane na wife wala hata asipige kuniulizia.
So nawaza, hapa napendwa au ni bora tu siku ziende?
Aaah wapi, bado hadi unyooke. Hivyo kuteseka kuko pale pale.Usinitishe mi nishakomaa kwenye hii fani..[emoji4]
Nitakie mema we kila siku unanitakia mabaya tu😥Aaah wapi, bado hadi unyooke. Hivyo kuteseka kuko pale pale.
Dah[emoji23]Kuna mwenzako alianzisha uzi kuwa mke wake anamkera sana kwa kuwa anampigia simu kila mara na kumjulia hali na akiwa nyumbani anamganda kama ruba. Yani anataka attention yake kila muda.
Mtafute mbadilishane wake. Anaitwa mulwanaka
Haha,Tuliobaki ndo sisi sisi laazizi
The boss... Una ushauri wa ki-boss boss kama jina lako.Sometimes unashukuru Tu unae mtu unamuita wife... mengine majaliwa
Nitakutakia mema kuanzia mwaka 2025, kwa sasa teseka teseka kidogo.Nitakie mema we kila siku unanitakia mabaya tu[emoji26]
Shindwa pepo,shindwa wewe fire fire fireeeeeeee baba uwa Leta Moto ulao baba piga vunja baba fire fire fireeeeeeee.Nitakutakia mema kuanzia mwaka 2025, kwa sasa teseka teseka kidogo.
Haha,
hivyo nitulize miguu yangu tu sivyo..!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shindwa pepo,shindwa wewe fire fire fireeeeeeee baba uwa Leta Moto ulao baba piga vunja baba fire fire fireeeeeeee.
🙄[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na bado!
Raha ya hayo maswali yawe unajisikia kula nini, chukua hela au nakutumia ukanunue ule.....Hivi una Habari maswali ya “babe umekula nini”yanavyokera yakizidi kila siku.
Siyapendi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hii comment ifanyiwe laminationTafuta ela,kumchangamkia mwanaume asiye na Hela yahitaji Moyo wa kinabii
📌📌📌😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hii comment ifanyiwe lamination
Asante kwa ufafanuzi wa kina ES.Raha ya hayo maswali yawe unajisikia kula nini, chukua hela au nakutumia ukanunue ule.....
Sio umekula nini umekula nini umekula nini kavu nyauuu nmekula majani