Wewe umemjulia hali huwa unampigia mkeo? mwenzio anampigiaga hapa hapo uliposikia wanaongea ni yeye ndiyo aliyempigia mkeweKwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.
Kwani umeshakula saivi?Ni kweli watu wako tofauti lakini si kila siku muda ule ule unaniuliza swali lile lile kwa miezi sita mfululizo.hapana kwa kweli
Nikawaida katika ndoa hasa ya wanandoa wanye lengo 1Vipi kwa upande wako mkuu,huwa unamuuliza anaendeleaje na kala nini?
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Kuna kuchapiwa apoKwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.
Kwa upande wangu, nikiishaondoka asubuhi home wife hana habari na mimi kabisa labda itokee tu emergency ndio anaweza kunitafuta. Yaani mimi naweza hata kukaa nje ya nyumbani mpaka usiku wa manane na wife wala hata asipige kuniulizia.
So nawaza, hapa napendwa au ni bora tu siku ziende?
Nipe mm huyo mkeo na mm nikupe wa kwangu. Yani mm sipendi kufuatiliwa na mwanamke mpaka basiKwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.
Kwa upande wangu, nikiishaondoka asubuhi home wife hana habari na mimi kabisa labda itokee tu emergency ndio anaweza kunitafuta. Yaani mimi naweza hata kukaa nje ya nyumbani mpaka usiku wa manane na wife wala hata asipige kuniulizia.
So nawaza, hapa napendwa au ni bora tu siku ziende?
NdoaSometimes unashukuru Tu unae mtu unamuita wife... mengine majaliwa
Wewe ulishawahi kujaribu kumpigia au kumtext kwa vitu kama hivyo?Kwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje, anamuuliza anakula nini na pia amemsisitiza jamaa awahi kurudi home jion.
Kila mtu anapenda kujaliwa na mpenzi wake, mapenzi unayaona matamu endapo mpenzi wako anaonyesha yuko pamoja na wewe.Kwema wakuu?