Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

Kuna mwenzako alianzisha uzi kuwa mke wake anamkera sana kwa kuwa anampigia simu kila mara na kumjulia hali na akiwa nyumbani anamganda kama ruba. Yani anataka attention yake kila muda.

Mtafute mbadilishane wake. Anaitwa mulwanaka
Hii dunia haiko fair kabisa sijui kwanini, ila nafikiri inakaa hivi ili ku balance nature na ecosystem.
 
Kama alikua hivyo toka uchumba basi ndo alivyo mzoee and jaribu kuongea nae taratibu ila kama hakua hivyo ameanza hivi karibuni basi ujue kuna tukio ulimpiga likambadili
Yote kwa yote pole sana,
 
Mkuu mkeo anaendana sana na mimi, kwa kuwa huwa sipendi kuchati wala kupigiana simu kama hakuna dharura
 
Hapo ishu ni kuwa hata wewe hujali...sisi wanaume ni viongozi wa wanawake...
 
Una bahati sana!!
kweli nimeamini kwenye miti hakuna wajenzi
 
Kaka mbona mkeo mzuri sana nikipata mwanamke kama huyo ntanenepa mwanaume hatafutwi tafuta pesa kaka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbadilishane mke na yule jamaa alokuwa analalamika mkewe anapenda attention.
Cc mulwanaka njoo huku mpange mipango na mwenzio.
 
Kuna mwenzako alianzisha uzi kuwa mke wake anamkera sana kwa kuwa anampigia simu kila mara na kumjulia hali na akiwa nyumbani anamganda kama ruba. Yani anataka attention yake kila muda.

Mtafute mbadilishane wake. Anaitwa mulwanaka
Kama ulikuwa kichwani mwangu. Kwakweli wabadilishane tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…