Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

Vitu kwa ground hua tofauti. Kama hamna mazoea hayo usiige maisha ya wengine.
 
Kuna mwenzako alianzisha uzi kuwa mke wake anamkera sana kwa kuwa anampigia simu kila mara na kumjulia hali na akiwa nyumbani anamganda kama ruba. Yani anataka attention yake kila muda.

Mtafute mbadilishane wake. Anaitwa mulwanaka
Asante kwa kumbukumbu nzuri,kuna baadhi ya wanaume hapa dunia ni masikitiko tu
 
Huyo mke walikuolea nyumbani?

Au wakati wa uchumba ulizingatia kigezo cha mgegedo tu?

Haya mambo hayafichiki jmn...
 
Yaani hii dunia bhana ' kweli kuimba kupokezana wengine wanatamani attention wengine awaitaki attention
 
.............kujali mtu hakulazmishwi, mshukuru Mungu mnapumua hayo mengne n ziada. Kama anafanya kaz za nyumbani na kulea watoto vzur(anafanya majukumu yake ipasavyo) inatosha hayo mengne n kujipa "presha" tu.
Afanye majukumu yake ya nyumbani, akutafute na ww looh! Na ww kwann urud nyumbani usku wa manane, bas uwe unatoa taarfa tu mwenyewe bila kuulizwa. Mtext umuambie "mama naniii leo nitakawia kurejea nyumbani" hvyo yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…