Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

Mbona mi nampenda Mungu kuliko mama angu and she knows.

Kuna shida gani hapo acha wivu wa kijinga angesema anampenda baba mchungaji kuliko ww hapo sawa.

Ila kama ni Mungu it's ok.

#You cant be an alpha male in front of God#.

Yeye ni mwanzo na mwisho.

Swali unataka kushindana na mwenyezi Mungu? 🤔🤨🤨
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
wewe si umekutana naye ukubwani aisee? na ndivyo inavyotakiwa, hata mimi na mke wangu tumeambiana hivyo, mke wangu anampenda Mungu kuliko mimi na mimi nampenda Mungu kuliko yeye. na sio tatizo hilo.
 
Unaona wivu mpaka Mungu akipendwa?

Kwani atakusaliti akimpenda Mungu zaidi yako? Hujui kumpenda huko ndipo kutaongeza chachu ya kukuheshimu, kukutii na kutoenenda kinyume na miongozo aliyotoa Mungu ikiwepo kukusaliti?

Jivunie na mshukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom