Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
Acha ujinga ndugu, huyo ndiyo mke wa kuishi naye kwa Dunia ya leo, sisi tunahangaika mno kuwapata kama hao ndugu yangu - Mwanamke mwenye hofu ya Mungu ndiye mtunza familia.

Mimi nilifikiri anampenda Mchungaji wake kanisani, kumbe ni MUNGU aaahh mzeee !! Jipe sifa kamatia hapo hapo. Ukimwacha tunambeba.
 
Piga chini waliambiwa huwezi kumpenda mungu usiye mwona kabla ya kupenda jirani ambae upo nae kila sku.
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
2023. David Harvey say " no God" au alisema "hakuna Mungu"

MATARAJIO YANGU / MY EXPECTATION
2070. GOD answer " NO David Harvey"
Bro huna akili, jitafakari
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
Sadaka na fungu la kumi ulipeleka wewe mwenyewe sasa kunatatizo gani nabii wako akiitumia na bebi wako! Unatakiwa umshukuru kwa kurejesha fadhila kwa waumini wake.
 
Acha kufuru.yatakukuta mambo we chezea wembe tu Acha ukukate
 
Naona umewaza mbali sana kuona anajipodoa na kuvaa nguo nzuri kila jumapili huku akisema anampenda Mungu kuliko wewe, kuna kitu umeng"amua sio bure
 
Huyo kasema wewe ni boya (bwege) indirectly.
 
Back
Top Bottom