Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

Viazi vinaingia kwenye ndoa vinakutana na vitu vya kawaida vinakuja kuleta feedback
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
Mafeminist watakupuuza na kukutukana ila ndugu yangu simamia kile unacho amini. Kukuambia hivyo kunakitu kinamnufaisha kupitia huo upendo anao usema. Yaani huyo anadinywa na mchungaji na Mlango pekee anao utegemea kupita ili akadinywe ni huo wa kumpenda muumba
 
We jamaa ni jau sana kwahiyo unataka Umzidi Mungu umuhimu????
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
Kama ni kweli katoa kauli hiyo basi hapo una mke bora maana kama anampenda Mungu vizuri basi jua anakupenda pia wewe maana ibaada njema huanzia nyumbani
 
Wewe ni muoga, unahaki ya kukataa ndoa
 
Naona wachangiaji wanakosa LOGIC KABISA

1)Yupo sahihi kumpenda Mungu kuliko wewe, nadhani kila mwenye imani ya dini ni anampenda Mungu kuliko binadamu yeyote

2)Ayupo sahihi yey kukwambia kuwa anampenda Mungu kuliko wewe, Happ anamkosea Mungu wake kwani Mungu kamlinganisha na binadamu, pia ni kamkosea mumewe just anatakiwa kumpenda tu mumewe na si kuweka santensi za "Nampenda kuliko wewe" iwe Mungu, Mama, Baba kisema tu ".......kuliko wewe" ni nonsense na sawa na kutokuonesha thamani ya Mume, mumeo mpende usimfananishe kwenye nafasi yake.
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
Inategemea mlifikishana vipi huko. Anatakiwa kumpenda Mungu kuliko kitu chochote na wewe kama anavyoipe da nafsi yake. Hicho ndicho kipimo cha upendo ndani ya Kristo.
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
Kama huwezi kumpenda jirani yako unaemuona basi huwezi kumpenda Mungu, alisema Yesu

Mkuu kama amemaanisha alichokisema basi endelea na mpango uliopanga, maana huyo ni mnafki..
 
  • Thanks
Reactions: J C
Kama mna watoto pima DNA mkuu, usijekuwa unalea watoto wa roho mtakatifu
 
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
Ndio walivyo kwani Cha ajabu nini? Hao ni vivuli au umesahau ya Ayubu na Ibrahim? Ya Adam na Eva Je?
 
Sasa unamuonea wivu Hadi Mungu kama vipi shindana nae
 
Back
Top Bottom