David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
wewe si umekutana naye ukubwani aisee? na ndivyo inavyotakiwa, hata mimi na mke wangu tumeambiana hivyo, mke wangu anampenda Mungu kuliko mimi na mimi nampenda Mungu kuliko yeye. na sio tatizo hilo.Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
NAKAZIAkataeni ndoa
ninyi mnaokataa ndoa, mtakuja kuolewa ninyi.NAKAZIA
Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda.
Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa