Wife kaninunia kisa hiki

kwani umenyoaje?

kama ni kama airport una maelezo ya kutoa.

kama hakutamaniki kupo kama kuku alienyonyolewa na maji ya baridi basi kausha tu, hapo bila shaka umejinyoa mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umri wa mkeo Tafadhari
 
Ila wanawake wanaopenda kujiliza liza huwa siwaelewi.
Kuna mmoja hapa jana aligaragara chini, mwili mzima michanga, eti kaliaaaa hadi mashetani yamempanda, sababu ya yote hayo kashika simu ya mume wake kakuta anachat na mchepuko.
Wewe si ni mwanamke??. Vipi hujawahi kulia na kugaragara?.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hii nchi watu wako huru Sana

Kwa vyovyote vile Kuna umuhimu wa katiba mpya wallahi
 
Ila wanawake wanaopenda kujiliza liza huwa siwaelewi.
Kuna mmoja hapa jana aligaragara chini, mwili mzima michanga, eti kaliaaaa hadi mashetani yamempanda, sababu ya yote hayo kashika simu ya mume wake kakuta anachat na mchepuko.
Dunia ina mambo sanaaaa
😂😂😂😂😂😂

#YNWA
 
Aisee🤔🤔Tanzania nchi yangu nakupenda na watu wake pia
 
Sasa aunt wee huliagi vile uncle akizingua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku usiku alikuwa amelala mchepuko alipiga simu, baadae ikafuatiwa meseji ya malavidavi.
Nikamuacha amelala.
Akashtuka nikampa simu yake umepigiwa simu na "babe wako" macho yakamtoka akanipokonya simu 🤣🤣🤣🤣 eti usiku kucha ananipapasa macho kama natoa machozi, kila dakika ananiamsha vipi mke wangu.
Nikiwa kimya ananipaasa macho 🤣🤣🤣🤣 nadhani alifikiri nitalia.
 
Ila wanawake wanaopenda kujiliza liza huwa siwaelewi.
Kuna mmoja hapa jana aligaragara chini, mwili mzima michanga, eti kaliaaaa hadi mashetani yamempanda, sababu ya yote hayo kashika simu ya mume wake kakuta anachat na mchepuko.

Hahahhaaaaa sijui wanapata wapi huo muda aisee
 
Reactions: amu

Kuku wako mwenyewe manati ya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…