Wife kaninunia kisa hiki

Yaani nimecheka sana aiseeeeee

Mavuzi siyo yake anayalilia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Labda kuna kazi huwa anayafanyia

Sasa husband kakatisha mchakato
 
Na wewe nuna hakuna namna
Na akinuna alafu achelewe kurudi nyumbani akirudi asile mwanamke lazima akili zirudi sikuizi vijana wamekuwa wanawake kabisa ishu ndogo kama iyoo unashindwa solve
 
wife wako naye ananyonyolewaga
na nani? kwanini humkagui au mpaka Lena siku akijifungua
kifuatacho mnyoe atulie
 
Malizia story.ikawaje?
 

Kumbe watoto wanaoana
 
Kuna njia nyingine mkuu yakutumia petrol na kibiriti,badala yakunyoa unayachoma
 
Ukijitetea Sana umeisha umeisha na Kama umefanya hivyo mzee jiandae na kisasi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…