Kumbe ulishakuwa sugu kama goti punda[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna siku usiku alikuwa amelala mchepuko alipiga simu, baadae ikafuatiwa meseji ya malavidavi.
Nikamuacha amelala.
Akashtuka nikampa simu yake umepigiwa simu na "babe wako" macho yakamtoka akanipokonya simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti usiku kucha ananipapasa macho kama natoa machozi, kila dakika ananiamsha vipi mke wangu.
Nikiwa kimya ananipaasa macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nadhani alifikiri nitalia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yarudishe tu mkuu, isiwe tabu.
Kama haucheki kipara basi unacheka mavvvzzzzzHata sijui nacheka nini
Habari wakuu
Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa mwenyewe).
Sasa amerudi akaniona nimejinyoa, akaniuliza kulikoni niondoke ndio ujinyoe? Nikamjibu tu niliona yananiwasha. Hakuniamini, akaanza kulia eti anasema nilikua na mwanamke mwingine ndio maana nikayanyoa, nimemuelewesha ila haelewi.
So wakuu, hii kesi naisolve vipi?
Ila wanawake wanaopenda kujiliza liza huwa siwaelewi.
Kuna mmoja hapa jana aligaragara chini, mwili mzima michanga, eti kaliaaaa hadi mashetani yamempanda, sababu ya yote hayo kashika simu ya mume wake kakuta anachat na mchepuko.
Sasa kama kila yakiuta anayanyoea yeye kwa nini ulifanya hivyo? Wakati anaondoka kwa nini hukumwambia akunyoe?Habari wakuu
Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa mwenyewe).
Sasa amerudi akaniona nimejinyoa, akaniuliza kulikoni niondoke ndio ujinyoe? Nikamjibu tu niliona yananiwasha. Hakuniamini, akaanza kulia eti anasema nilikua na mwanamke mwingine ndio maana nikayanyoa, nimemuelewesha ila haelewi.
So wakuu, hii kesi naisolve vipi?
Kuna siku usiku alikuwa amelala mchepuko alipiga simu, baadae ikafuatiwa meseji ya malavidavi.
Nikamuacha amelala.
Akashtuka nikampa simu yake umepigiwa simu na "babe wako" macho yakamtoka akanipokonya simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti usiku kucha ananipapasa macho kama natoa machozi, kila dakika ananiamsha vipi mke wangu.
Nikiwa kimya ananipaasa macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nadhani alifikiri nitalia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiii, hii ni hatariMtakuja kupata chawa kwa kusubiri kunyolewa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aloooo! Kwenye swala la mapenzi wengine tuko vidudu aiseeWenzako mpk hua wanaambiwa chuchumaa hapo nikutawaze.
Kuta za vyumba Zina mambo mengi mkuu ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aloooo! Kwenye swala la mapenzi wengine tuko vidudu aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naongezea kwa nini ajinyoe mwenyewe hii kesi aliyoitafuta acha apambane nayo tukama haucheki kipara basi unacheka mavvvzzzzz
wewe noma sana ,eti niniChui jike ana kazi sana kuongoza watanzania hasa sisi wa bara.
πππππππNimecheka
Watu mna manenoo