Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

Wanaume wanaisha asee[emoji848][emoji848]
Hi WitnessJ. Nakupenda rafiki yangu. Nakumbuka tuliongea kuhusu binamu yako. Ndio hivyo my dear. Relationships zimekuwa stress sana sababu ya UBINAFSI. Na mara nyingine hata umhudumie vipi mtu wako, bado haridhiki. Very sad. Thanks kuchangia
 
mkuu simama kama mwanaume kuwa mkali,.... umpangie matumizi ya angalau laki 7 ya huo mshahara wake akishindwa kutimiza majukumu wewe usiweke pesa nyumbani.....

mil 1.9 ni nyingi sana, na hapo ukute kuna house girl ambaye unamlipa wewe mshahara.....tuache unafiki hapa mkeo anaharibu na hii hali ni wewe tu unaweza igeuza.....

Kuingia ndoani na mbinafsi ni kujitafutia kesi na matatizo
 
Hi WitnessJ. Nakupenda rafiki yangu. Nakumbuka tuliongea kuhusu binamu yako. Ndio hivyo my dear. Relationships zimekuwa stress sana sababu ya UBINAFSI. Na mara nyingine hata umhudumie vipi mtu wako, bado haridhiki. Very sad. Thanks kuchangia
Ndio best yangu....ila ngoja nikufundishe kitu, ukitaka kuoa, oa mwanamke unayempenda sana moyoni mwako!

Masuala ya kazi yake achana nayo kabisa, coz umeoa mwanamke hujaoa kazi,

Ukitaka mwanamke akudharau ulizia hela zake! Hela ya mwanamke hainaga thamani coz ya mashindano ya kununua nguo, les wigi, vipodozi, viatu, pochi, dhahabu n.k...vyote hivyo vinammalizia hela!

Mmoja mmoja ndo anaweza akaamua kujenga/ kufanya maendeleo na ni mpaka ashinde vita ya mashindano ya kuvaa job na wanawake wenzie...

Mwisho kabisa, amini hili

Mwanamke ni kiumbe ambae sio provider kabisa, so ukimuuliza hela zake, asee anakuwa anaona na we ni mwenzie
 
Habari wakuu.

Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa tz.kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.

Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kikweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu vizuri

Sasa kilichonifanya kuandika huu uzi ni kisa kilichotokea juzi jumamosi, wife ameninunia sababu ikiwa kwamba aliniomba pesa ya kusukia kama 20k hivi nikamwambia sina, nikamwambia yeye anakosaje hiyo elfu 20 wakati mahitaji yote ya nyumbani natoa mimi. Kanuna mpaka leo.

Nimeambatanisha ushahidi wa salary yake hapa.nishaurini, huyu mwanamke yuko sahihi kuniomba ela ya kusukia wakati kanizidi

Sijasoma content ila nakuuliza ulitaka amuombe nani?
Kasome content, alafu uje ufute hii comment yk😆😆 utani tu mkuu. Ila hata mm lazma nihoji weeee🤣🤣🤣🤣🤣 aniambie zile hela huwa anafanyia nini hasa??
 
Bora ungemwambia kwa sasa sina mke wangu kipenzi subiri ntapambana ntakupa siku mbili hizi..
Hamna jambo linamkera mwanamke kama kumwambia "unakosaje" kiasi fulani kufanya kitu fulani? Inakera,inamfanya aone unakimbia wajibu wako /Pia inakufanya uonekane Hopeless

Maana mwanamke hupenda mtu anaempambania, kwahiyo kitendo cha wewe kuuliza unakosaje ef20 ni sawa na kumfanya ajisikie ule ni wajibu wake vile umemuona kama ni mwanaume mwenzie [emoji2] maana anajipambania kweri kwerii mpaka hela ya kusuka ajipe!
Kauli muhimu
 
mpige biti la kumuachisha kazi na hiyo sio siku 1 tu useme, umseme kama wiki zima na uwe serious.....

wanawake wakiTanzania aailimia kubwa ni overrated, wanaamini mambo ambayo hamna mil 1.9 afanyie mashindano kwa maisha gani?......

alafu hiyo situation inakera sana hata kazini kwetu unakuta mdada analipwa laki 9 as take home wewe u alipwa laki 750 take home ila kila siku utasikia naomba elfu 10000 haipiti siku 3 bila kuomba pesa tena kwa watu tofauti....sasa unanjiuliza hizo pesa huwa wanapeleka wapi....

hapo hapo kuna foreigners wapo hapo kazini wakike hata 500 tu hawaombi na wapo so cool sasa mtu ataolewaje kwa mentality hiyo ya ombaomba wakati kioato anacho cha kukuzidi......

Extrovert pita huku
 
Back
Top Bottom