andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
😂😂😂😂Nadhan hosp wana vipimo vizuri, mbona afande mzenji alipimwa ikaonekana kuna nyama ngumu imeingizwa kule mahala🤣
Nyama ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Nadhan hosp wana vipimo vizuri, mbona afande mzenji alipimwa ikaonekana kuna nyama ngumu imeingizwa kule mahala🤣
Oa mke kwanza halafu uje utuambie unajiskiaje akiwa na mazoea na wanaume wengine. Mwanaume bila ya wivu ni sawa na khanithi tuila mabloo wenye wake mna wivu😅😅yani hata jirani ukimchangamkia mkewake yeye ananuna 😅Sasa jamani wakezenu tusiwasalimie?
ilatunacho wafanyaga wake zenu mkiwa kazini😅
Yaaani sasa imekua vurugu huku na huko🤣🤣🤣🤣🤣 Kuoa kumekuwa rahisi sana.
Sasa si wanakula Pasaka tatizo nini hapo si yupo na WATOTO au ulitaka afanyaje mkuu ?Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Pole mkuu hawa ndivyo walivyoNiko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Ulivyomuuliza kasemaje?Hakunijilisha kama atatoka
Kweli mkuu umekunja ndita Basi hio amekukosea kidogo tu alijua akikwambia labda utamkunjia akaona afanye kwa kuibia kidogo vingine ni surprise mkuu au haujaelewa alitaka kukusuprise ?Hakunijilisha kama atatoka
Ni pombe gani hiyo?View attachment 2582599Subiri ipoe bado ya motoo
Dublin wanatumia euroNimeiba
Oa mke kwanza halafu uje utuambie unajiskiaje akiwa na mazoea na wanaume wengine. Mwanaume bila ya wivu ni sawa na khanithi tu
tunawala sanaaOa mke kwanza halafu uje utuambie unajiskiaje akiwa na mazoea na wanaume wengine. Mwanaume bila ya wivu ni sawa na khanithi tu
Hio sio Pombe ni Chai JabaNi pombe gani hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila watuKuna njemba imeshatafuna mbususu ya mkeo na wanao wanamuita jamaa uncle....... Njemba imefaidi mbususu na pauni zako,,, we huko piga puchu tu
😅😅😅. Ongea na watoto kwa kupiga tu story za kawaida utajua nini kilifanyika hiyo siku. Sidhani kama kuna lolote baya ni vile kakosea kutokukujulisha.Kakata simu