uwanja wa fisi. pale haoajawahi kumuangusha mtu mwenye budget ya kuungaunga.Mtaa gani best
Mmmmmhuwanja wa fisi. pale haoajawahi kumuangusha mtu mwenye budget ya kuungaunga.
Ila kama unafweza nenda Pugu Hill pale ukaishi kitalii ndani ya jiji. Hutajuta ila sijui kama bado panafanya kazi.
Hilo chaka wanalijua watu ambao wako ulaya ila majirani hawajui kama ni pa ukweli.
Ukichukua Taxi Ubungo mwambie akulete Ohio Street.Ipo mtaa gani best
Nielekeze bas
Uje hata lunch ukishindwa gharama za kulala hapa. Njoo nitakupa special packageAsant
Kwetu pazuri ukajione Biriani la Mariam birianWanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko
Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza
Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa
Asanteni
Ndio chimbo lako la biashara ya usiku?Fika Buguruni uliza bar inaitwa Kimboka. Kapate pale Grand Malta baridi