Jirani yangu habari yako
Mm mzima kabisa jirani naona unamuelekeza kitaani kabisaHabari yangu nzuri jirani, mzima wewe?
Mm mzima kabisa jirani naona unamuelekeza kitaani kabisa
Hahahah na mjini jirani lazima uwe na connectionNdio jirani ninamkaribisha mtaani hata akijisikia mpweke anaweza kuomba kampani kwa majirani, raha ya hili jiji uwe na watu wenye connection [emoji23]
Duh,wapi pazuri
Ebu nipeleke uko [emoji847][emoji847]Zenziberi...Tena kwa sasa kama una hela yako unaenda itumbua kwa hotel Verda...
Serengeri...Moja ya sehemu maridadi sana ya kutazama uzuri wa nature...
Magoroto...Nature and adventure
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko
Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza
Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa
Asanteni
Heheh we si ulinikimbia besidei ya Sak...Ebu nipeleke uko [emoji847][emoji847]
Can't wait kwa kweli [emoji847][emoji847]Heheh we si ulinikimbia besidei ya Sak...
Ila one day tatafuta wewe, Magoroto will do when it aint wet or winter season in Lushoto...
Kwa budget yako nakushauri ufikie sinza au kijitonyama, au mwenge hotel zipo nzuri na bei rahisi 40k - 100k, uanaweza kufikia star city hotel, double view, mesuma, king D, ila nakushauri fikia Azania hotel ipo sinza kwa remy unaweza kuigugo ukafanya reservation...sababu ya kukushauri maeneo hayo ni kuwa itakuwa rahisi kwako kwenda sehemu nyingi za kuvutia kama vile malls, sehemu za starehe n.k unakuwa upo katikati ya popote utakapohitaji kwenda ningekushauri mbezi beach ila hoteli zao bei mkasi kidogo
Zenziberi...Tena kwa sasa kama una hela yako unaenda itumbua kwa hotel Verda...
Serengeti...Moja ya sehemu maridadi sana ya kutazama uzuri wa nature...
Magoroto...Nature and adventure
Akija wewe uje kwangu mziguaNjoo upumzike kwangu mama japo uswahilini