Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Wakati tunampatia ile nafasi hatukujua kama ni Boya kiasi kile,
Mchukueni tu

Ndiyo maana nikakwambia mshtuko mlionao nimkubwa sana maana hata maneno yako tu yanasadifu! Jipangane na hayo maboya mengine mliyo nayo maana najua siku wakiondoka nao utawaita maboya!
 
lakni yote yalitabiliwa ni nyakati za mwisho tuombe sana
 
......
......wale ni mijusi ya mamba
kwanini unahisi wakiondoka wanaccm kwenda upinzani ni sawa na wa upinzani kwenda ccm si sawa??inamaana huko upinzani mko perfect sana kiasi kwamba hamkosei baadhi ya mambo??
 
kwanini unahisi wakiondoka wanaccm kwenda upinzani ni sawa na wa upinzani kwenda ccm si sawa??inamaana huko upinzani mko perfect sana kiasi kwamba hamkosei baadhi ya mambo??
.....
.....huko kwenu watu na pesa tu zamuu hii mtakombwa ile mbaya
 
Walihama waliokuwa mawaziri wakuu. Kidudu mtu gani mwingine atatikisa??
 
Ndiyo maana nikakwambia mshtuko mlionao nimkubwa sana maana hata maneno yako tu yanasadifu! Jipangane na hayo maboya mengine mliyo nayo maana najua siku wakiondoka nao utawaita maboya!
Wapo watu wa kufanya CDM ipate Mshtuko endapo wakiondoka,
Huyu Boya sio miongoni mwao
 
Ccm sio mtu ni watu
 
Mkuu huu n mjadala Mwngne mpana...unahitaj muda kuujadili...ngoja tusitoke nje ya mada ya mkuu swissme....
 
Kwa ajili ya kuachiwa huru watu flani flani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…