Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Yani watu mkilala ni kuota watu wanaohama vyama.Kwanza ukubwa wa huyo mtu kwa sasa unaupima vip katika upepo huu wa Magu,nilifikir nyarandu ataendelea kuwika na ukubwa wake aliokuwa nao lakini ndio kama kapotea kabisa
 
Hivi Membe ndio kitu?

Ni yule aliyekuwa anagongana wa mawaziri wengine angani?
 
Sidhan kama kuna utafit ulioufanya kuthibitsha hilo LA kukubaliwa na watanzania weng Kwa Yale anayoyafanya...pole lakin kuishi Kwa matumain ni Dawa pia ya stress.....
Sawa mkuu, una haki ya ku-present au kusema anything because you do not pay for your faculties.Hata hivyo as recent as last week REPOA wametoa taarifa za kiutafiti zinazounga mkono za TWAWEZA ambazo zinaonyesha kwamba uongozi wa Magufuli umeweza kupunguza rushwa kwa kiwango kikubwa.Who would not support such a government,nadhani ni mjinga tu mkuu.
 
Uandishi wako tu unaonyesha ni namna gani mlivyopigwa na "msituko Mkubwa " ambao mpaka sasa hamjakaa sawa!

Huwezi kuona thamani ya kitu mpaka ukipoteze, maumivu yake huwa ni makali sana!
Embu weka wazi hapa mfano kitu gani kizuri tutakimiss kutoka kwa Katambi??
 
Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru
Asante kwa taarifa ila waliobaki, na wanaweza kuhama, hawalingani na hao waliohama wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015.

Wakati huo ulikuwa muhimu na mugumu kisiasa kwa CCM, ikizingatiwa mmoja wa waliohama alikuwa amejijenga kisiasa, kiasi cha kupewa nafasi ya kugombea Urais, upande wa upinzani, nje ya Katiba ya vyama husika.

LETA HABARI YENYE MSHIKO.
 
Back
Top Bottom