Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Embu weka wazi hapa mfano kitu gani kizuri tutakimiss kutoka kwa Katambi??

Mkuu mimi siwezi kufahamu uzuri wake, nikuulize wewe ambaye uliuona hicho kitu kizuri kwake mpaka ukampatia nafasi nyeti kama ile.
 
Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru

Mwambie safari njema...akifika anakoenda awasalimie wote
 
leo kwenye maazimisho hamna wale warudisha kadi kwel
 
Kama sio Membe au Mwandosya sijui...

Waache wafu wawazike wafu wenzao...Tanzania ni kubwa kuliko mtu yoyote. Hawa waganga njaa wa siasa acha wachanganyane. Labda tutapa wana siasa serious mbele ya safari. Sisi tunataka maendeleo sio kutukuza watu.
 
....
.....futa machozi habari kamili bado
 
Kama sio magufuli basi chukueni tu. Sie mtuachie huyu mwamba wetu.kwa kasi aliyo nayo hata abaki peke yake.
Sisi tunataka maendeleo bwana...sio mambo ya huyu bwana mkubwa....sijui bila yule hutaweza kula...mara yule ndio nguzo ya watanzania....wakati ni nguzo yake wenyewe na interest zake.
Ikifika mahala tukapata maendeleo, hawa wanasiasa hawatatusumbua kabisa na njaa zao
 
Mkuu mimi siwezi kufahamu uzuri wake, nikuulize wewe ambaye uliuona hicho kitu kizuri kwake mpaka ukampatia nafasi nyeti kama ile.
Wakati tunampatia ile nafasi hatukujua kama ni Boya kiasi kile,
Mchukueni tu
 
Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru
Kama kawaida ..."kazi isiyofahamika ila maalumu" ...kila la heri watakaokota embe chini ya mnazi
 
Back
Top Bottom