Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Yaani CDM ipate wakati Mgumu sababu ya Katambi??
Katika viongozi 30 ambao ni vichwa na wa kutegemewa pale CDM huyo Katambi hakuwemo kabisa, hata 100 bora
 
Wanasiasa ni waongo balaa
a
 
Sidhan kama kuna utafit ulioufanya kuthibitsha hilo LA kukubaliwa na watanzania weng Kwa Yale anayoyafanya...pole lakin kuishi Kwa matumain ni Dawa pia ya stress.....
 
Yaani CDM ipate wakati Mgumu sababu ya Katambi??
Katika viongozi 30 ambao ni vichwa na wa kutegemewa pale CDM huyo Katambi hakuwemo kabisa, hata 100 bora

Uandishi wako tu unaonyesha ni namna gani mlivyopigwa na "msituko Mkubwa " ambao mpaka sasa hamjakaa sawa!

Huwezi kuona thamani ya kitu mpaka ukipoteze, maumivu yake huwa ni makali sana!
 
Hawa viongozi wengine wanapenda drama za mitandaoni huku kazi wengi ni kaputiiiiiii.

Mtuache leo sikukuuu tupo tunaangalia kinachojiri Dodoma.. ambapo ndio kumekucha
Ngoja nitafute mke ataeniabudu kama wewe unavyoiabudu CCM,,,,NAJUA HATONISALITI KAMWE[emoji181]
 
Mrema,Lowassa,Sumaye,Nyalandu wote wamehama hamna nyufa ndogo sana katika jengo ndizo tuliziona ubaya wa sasa hakuna mtu mkubwa CCM wote wakubwa.
 
"TUNAKUPA MADARAKA TUNAKUPA MSHAHARA,TUNAKUPA MARUPURUPU,KWELI UTAWEZAJE KUTANGAZA MPINZANI AMESHINDA"
Kwa kauli hiyo huwezi shitakiwa kulingana na KATIBA ya Nchi..........??? Au katiba ni zuga tu.........!!!!
 
Huyo hajanunuliwa?
Ahame tu hata leo
 
Kama sio Membe au Mwandosya sijui...
Hawa wote siyo threat kwa ccm na hawana mchango wowote kwenye kambi ya upinzani.

Hawa ni majeruhi wa kisiasa tu, Chadema isithubutu kumpokea kachero wa usalama wa Taifa kama Membe watakuja kulia kuliko sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…