Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana?

Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika.

Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!!

Screenshot_20231108_195847_Google.jpg

JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
 
Alikuwa na mihemko sana, akajisahau, atakuwa ameshtuka spidi aliyokuwa ameanza nayo alikosea, huu sio wakati wa Magufuli, hizi ni zama za kula kwa urefu wa kamba yako..
Alinikera sana alipoamrisha yule RC Dodoma apande jukwaani haraka kwenda kujibu maswali yanayohusu ushuru mpakani mwa Dodoma na Iringa.
 
Alikuwa na mihemko sana, akajisahau, atakuwa ameshtuka spidi aliyokuwa ameanza nayo alikosea, huu sio wakati wa Magufuli, hizi ni zama za kula kwa urefu wa kamba yako..
Kesho tunae kanda ya ziwa,alikuwa bize kuratibu ziara yake kanda ya ziwa kuanzia trh 09/11/ mpaka trh 14/11

Jiandaeni kisaikolojia
 
Alinikera sana alipoamrisha yule RC Dodoma apande jukwaani haraka kwenda kujibu maswali yanayohusu ushuru mpakani mwa Dodoma na Iringa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Panya lazima mtafute pa kujificha
 
Back
Top Bottom