Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tulipiga spana wakasema haiwezekani kile cheo ni kikubwa sana.Tumempiga Spanna kwenye kile cheo cha Katibu Mwenezi wa CCM mpaka ametemwa. Sasa tusipoe watu wa Arusha twende kazi tumpige spanna Bashite
Watu wanacheza na Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.
Huyu Bwana akatubu tu ndio atakuwa huru.