Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Panya lazima mtafute pa kujificha
Mna mkweza sana huyo fala! Wajibu wa katibu uenezi wa chama hicho unauelewa jombaa? Huyo ni MC wa chama hana tofauti na MC wa harusi!
Hivi MC wa harusi hata akinuna anaweza kumzuia bwana harusi kumshika trako bi harusi? Hana mamlaka hayo zaidi ya kupiga kelele "anameremeta" ndivyo wajibu wa MC wa CCM kupita huku na kule akiimba "CCM inameremeta" maana yeye ni vuvuzela la Chama.
Huyo Fala hata kama bosi wake mwenyekiti Samia anampenda kiasi gani, lakini alivyo mjinga alibugi kumkoromea WM Majaliwa.
PM ni kwa vile ana busara tuu, lakini angetaka kukiwasha basi mahusiano ya chama na serikali yangetifuana na nahisi Bashite alipata onyo toka kwa Rais Samia kuwa mbona unaharibu?
 
Ila nimegundua Makonda anavutia sana kwenye siasa zetu hizi….
 
Huyu bwanamdogo anatakiwa atumie akili, halmashauri kuu ya CCM ina makatibu kadhaa siyo yeye tu, kuna katibu wa uchumi na fedha, kuna wa mambo ya nje, yeye ni wa itikadi na uenezi arejee hob description ajue mipaka ya kazi yake. Shida ni kwamba huyo bwana hajui hata majukumu yake na hataki kuyasoma na kuyaelewa. Aliyeanza huu upuuzi ni Polepole kipindi cha mwendazake. Polepole alianzisha kipindi Channel Ten kuwapigia viongozi hata usiku watatue matatizo ya wananchi kwa njia simu. Huu ni aina ya ushamba na kuingilia majukumu yasiyokuhusu.
Mkuu acha aendelee anavyofanya kama atavuruga CCM si ndio itakuwa vizuri zaidi ? Acha aharibu kabisa….si ndio furaha ya Wengi? Hahahaha
Kwanini tumfundishe chakufanya? Hata Nape alifanya vivyo hivyo…..
 
Anaenda kukiwasha Kanda ya Ziwa stay tuned Leo.
Je amekiwasha? Weka hapa matamko yake ya kihayawani tuyaone
 
Chama kimenyamaza automatically na yeye ananyamaza, ni kama mfumo wa redio ulivyo spika haiwezi kusema kama hakuna input kwenye microphone
Je huyu bazazi yuko wapi wikihii na mikokoteni yake?
 
Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana?

Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika.

Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!!

View attachment 2808107

JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
Tumempiga Spanna kwenye kile cheo cha Katibu Mwenezi wa CCM mpaka ametemwa. Sasa tusipoe watu wa Arusha twende kazi tumpige spanna Bashite
 
Back
Top Bottom