Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Panya lazima mtafute pa kujificha
Mna mkweza sana huyo fala! Wajibu wa katibu uenezi wa chama hicho unauelewa jombaa? Huyo ni MC wa chama hana tofauti na MC wa harusi!
Hivi MC wa harusi hata akinuna anaweza kumzuia bwana harusi kumshika trako bi harusi? Hana mamlaka hayo zaidi ya kupiga kelele "anameremeta" ndivyo wajibu wa MC wa CCM kupita huku na kule akiimba "CCM inameremeta" maana yeye ni vuvuzela la Chama.
Huyo Fala hata kama bosi wake mwenyekiti Samia anampenda kiasi gani, lakini alivyo mjinga alibugi kumkoromea WM Majaliwa.
PM ni kwa vile ana busara tuu, lakini angetaka kukiwasha basi mahusiano ya chama na serikali yangetifuana na nahisi Bashite alipata onyo toka kwa Rais Samia kuwa mbona unaharibu?
 
Ila nimegundua Makonda anavutia sana kwenye siasa zetu hizi….
 
Mkuu acha aendelee anavyofanya kama atavuruga CCM si ndio itakuwa vizuri zaidi ? Acha aharibu kabisa….si ndio furaha ya Wengi? Hahahaha
Kwanini tumfundishe chakufanya? Hata Nape alifanya vivyo hivyo…..
 
Je amekiwasha? Weka hapa matamko yake ya kihayawani tuyaone
 
Chama kimenyamaza automatically na yeye ananyamaza, ni kama mfumo wa redio ulivyo spika haiwezi kusema kama hakuna input kwenye microphone
Je huyu bazazi yuko wapi wikihii na mikokoteni yake?
 
Tumempiga Spanna kwenye kile cheo cha Katibu Mwenezi wa CCM mpaka ametemwa. Sasa tusipoe watu wa Arusha twende kazi tumpige spanna Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…