B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Mar 31, 2024 #41 Stuxnet said: Tumempiga Spanna kwenye kile cheo cha Katibu Mwenezi wa CCM mpaka ametemwa. Sasa tusipoe watu wa Arusha twende kazi tumpige spanna Bashite Click to expand... Tulipiga spana wakasema haiwezekani kile cheo ni kikubwa sana. Watu wanacheza na Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu. Huyu Bwana akatubu tu ndio atakuwa huru.
Stuxnet said: Tumempiga Spanna kwenye kile cheo cha Katibu Mwenezi wa CCM mpaka ametemwa. Sasa tusipoe watu wa Arusha twende kazi tumpige spanna Bashite Click to expand... Tulipiga spana wakasema haiwezekani kile cheo ni kikubwa sana. Watu wanacheza na Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu. Huyu Bwana akatubu tu ndio atakuwa huru.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Mar 31, 2024 #42 Leak said: Ila nimegundua Makonda anavutia sana kwenye siasa zetu hizi…. Click to expand... Jifarijini hivyo hivyo wenzetu tunakula Pasaka inashuka vizuri
Leak said: Ila nimegundua Makonda anavutia sana kwenye siasa zetu hizi…. Click to expand... Jifarijini hivyo hivyo wenzetu tunakula Pasaka inashuka vizuri