Wiki sasa sina amani

Shida ilianzia hapa Sasa ni muda wa kula matunda uliyoyapanda😂
"
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.

Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.

Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.

Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... 😋😋😋😋😋"
 
Poor kama poor jina limekuponza mr poor brain.😂😆😂😆😆😆😆😆 Poor umeyatimba na ukimwi unao wewe anza kuandaa tumbo la kumeza pipi.
 
Binadamu ni kiumbe hatari sana, zaidi ya mnyama. Unaishi na mtu kumbe anameza madonge na hakuambii...dah[emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana mkuu!
Ndoa bwana. Unaishi na mtu ila moyoni una siri nyingi kiasi unajiona haupo salama, inafika mahali unaanza kuishi kwa matumaini na kujifariji kwamba ipo siku utakuja kuishi bila ya huyo... Nyie ndoa ikikosa kibali machoni pa Mungu ni mateso mazito hujapata ona zaidi utayaona ukiwa tyr umeyavagaa

Nyie nyie nyie
 
😆😂😂😂😂😆😂😂😂😂😄😄😄
 
Mdogo wangu Poor Brain , usiogope sometimes tunajifunza kupitia uzoefu na maumivu, ondoa wasiwasi nenda kapime ujue mbivu na mbichi na kama utakuwa umeathirika ni PM kuna mtu huwa anatibu huo UKIMWI na unapona kabisa. Usigope na wala usiishi kwa hofu. Ukishaligundua tatizo litafutie ufumbuzi.
 
Mtu anayetumia Dawa vizuri hawezi ambukiza mtu kwa Mujibu wa Wataalamu wa Afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…