Samantha Lewthwaite
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 298
- 729
Shida ilianzia hapa Sasa ni muda wa kula matunda uliyoyapanda😂
"Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.
Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.
Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.
Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... 😋😋😋😋😋"