The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kumbuka kwamba,maisha yako yana thamani kuliko kitu chochote kile hapa Duniani,Daaah mkuu haikua rahisi ila kuna watu wanajua kushawishi na hapa sasa nina amani nawaza tu ni jinsi gani nitamwambia
Mkuu nimepima nipo salama namshukuru munguKapime afu acha uzinzi
Ushamla tiGo?Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Hapana kwa sasa nipo dsm..Poor Brain vipi upo usinge tabora
Haupo sawa wewe ...Ushamla tiGo?
Sifanyi uzinzi mimi mkuu....Ndugu yangu achana na masuala ya uzinzi yatakupeleka pabaya haya
Ndio mkuu kuna kitu nimejifunza hapa..Ni jambo la kumshukuru Mungu mdogo wangu next time, hiyo Mishangazi achana nayo itakuharibia future yako tu. Kwa sababu hamtodumu hata miaka miwili au mitatu, ukute linakuhonga wewe na lenyewe linahongwa hapo ni full kuchafuliana future tu
Yaah ni kweli mkuu umeongea kitu cha maana mno..Kumbuka kwamba,maisha yako yana thamani kuliko kitu chochote kile hapa Duniani,
Kwenye issue ya uhai wako,hutakiwi kumuonea aibu mtu yeyote yule,
Stay safe.
we nae mwanaume gan hopless unaambiwa upime mwenyw ulete majibu aroo!Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Kijana alikuwa anatamba sana kwamba amepata hifadhi ya nafsi jana kaleta huu uzi leo anasema yuko salama kabisawe nae mwanaume gan hopless unaambiwa upime mwenyw ulete majibu aroo!
Na wewe vile vile hoplesswe nae mwanaume gan hopless unaambiwa upime mwenyw ulete majibu aroo!
Pele sana Kiongozi lakin ni vema ukipata nafasi upige picha hivyo vidonge ushee na sisi tuvione maana siku hizi wake zetu wanakunywa dawa nyingi za vitamini( supplements) na hua wanakunywa kila siku zipo za aina tofauti inategemea ana shida ipi na ameshauri vipi.Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Kwani hapo chini sii umesema umepima.ujo salama,acha hizo mura.Daaah thank mkuu...
Kuhusu kupima hapa siwezi
Hongera Sana kaka kwa Ujasiri uliochukua..Mkuu nipo salama salimini bana
Kwa sasa takua balozi kwa wenzangu ambao ni waoga na hawana mpango wa kujua Afya zao...Hongera Sana kaka kwa Ujasiri uliochukua..
Maana wengine huchukua Maamuzi ya Kijinga ya Kujiua ila maamuzi uliyofanya ni ya Kiume sana na nakupongeza na Hongera sana kwa Kuwa Negative..
Stay safe and play safe
mzabzab unamjua wewe??? 😹Watu wengi siku hizi wenye HIV ukiongea nao wana maneno positive sana juu ya kujikinga na HIV, kama kupima, kutumia mpira sasa ukijichanganya tu imekula kwako
Hata darasani sio wote mtaelewa ni wachache wataelewa mkuu 🙏🙏🙏Kwani hapo chini sii umesema umepima.ujo salama,acha hizo mura.
Mwambie nimeona dawa flan na nimezitilia waswas kuwa ni za hiv naomba niambie ukweli ili niwe na amani au laa twende mguu kwa mguu tukapime ili niwe na amani na niondoe shaka na waswasYaah ni kweli mkuu umeongea kitu cha maana mno..
But kufanya maamuzi inabidi kutulia maana sisi bado ni watu kuna vitu tunategemeana hvo uwezi ukajitoa tu by any way...
Nipo safe mkuu
Ni mkeo? Mchumba? Girl friend? Au kausha damu?Sana mimi nilikua natafuta albamu ya picha ndo nakutana na hayo makablasha yapo chini ya wigi huko kwa droo mkuu...🥺🥺🥺🥺