Wiki sasa sina amani

Wiki sasa sina amani

Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA

MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Ushamla tiGo?
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu mdogo wangu next time, hiyo Mishangazi achana nayo itakuharibia future yako tu. Kwa sababu hamtodumu hata miaka miwili au mitatu, ukute linakuhonga wewe na lenyewe linahongwa hapo ni full kuchafuliana future tu
Ndio mkuu kuna kitu nimejifunza hapa..

Kingine mkuu don't mkadilia mtu kwa macho aiseeee be care..

Kuna kitu nimejifunza kuhusu haya mambo hivo nipo makini mkuu
 
Kumbuka kwamba,maisha yako yana thamani kuliko kitu chochote kile hapa Duniani,

Kwenye issue ya uhai wako,hutakiwi kumuonea aibu mtu yeyote yule,

Stay safe.
Yaah ni kweli mkuu umeongea kitu cha maana mno..

But kufanya maamuzi inabidi kutulia maana sisi bado ni watu kuna vitu tunategemeana hvo uwezi ukajitoa tu by any way...

Nipo safe mkuu
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA

MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
we nae mwanaume gan hopless unaambiwa upime mwenyw ulete majibu aroo!
 
Pele sana Kiongozi lakin ni vema ukipata nafasi upige picha hivyo vidonge ushee na sisi tuvione maana siku hizi wake zetu wanakunywa dawa nyingi za vitamini( supplements) na hua wanakunywa kila siku zipo za aina tofauti inategemea ana shida ipi na ameshauri vipi.
 
Hongera Sana kaka kwa Ujasiri uliochukua..
Maana wengine huchukua Maamuzi ya Kijinga ya Kujiua ila maamuzi uliyofanya ni ya Kiume sana na nakupongeza na Hongera sana kwa Kuwa Negative..

Stay safe and play safe
Kwa sasa takua balozi kwa wenzangu ambao ni waoga na hawana mpango wa kujua Afya zao...

Kingine ni kuwa hata kama una msongo wa mawazo vipi kuna watu kazi yao ni kukufanya uwe mentally fit wakuu..

Msikose kutembelea hawa watu
 
Yaah ni kweli mkuu umeongea kitu cha maana mno..

But kufanya maamuzi inabidi kutulia maana sisi bado ni watu kuna vitu tunategemeana hvo uwezi ukajitoa tu by any way...

Nipo safe mkuu
Mwambie nimeona dawa flan na nimezitilia waswas kuwa ni za hiv naomba niambie ukweli ili niwe na amani au laa twende mguu kwa mguu tukapime ili niwe na amani na niondoe shaka na waswas
 
Back
Top Bottom