Wiki sasa sina amani

Wiki sasa sina amani

Mwambie nimeona dawa flan na nimezitilia waswas kuwa ni za hiv naomba niambie ukweli ili niwe na amani au laa twende mguu kwa mguu tukapime ili niwe na amani na niondoe shaka na waswas
Wee kuweza kumwambia mtu et """ twende mguu kwa mguu"""

Kuwa serious mkuu..
But till now nipo oky nimepima nipo sawa kabisa hapa nasbr vipimo vya mara ya pili
 
Ni mkeo? Mchumba? Girl friend? Au kausha damu?
Swali zuri mkuu...
Kiufupi sizani kama anafaa kuitwa mchumba, au girlfriend kwa age tuliyoachana..

Pia sio mke wangu ila tu naweza sema ni mpenzi wangu basiiii...

Mwenyewe anasemaga nimuite ma mdogo
 
Mwambie nimeona dawa flan na nimezitilia waswas kuwa ni za hiv naomba niambie ukweli ili niwe na amani au laa twende mguu kwa mguu tukapime ili niwe na amani na niondoe shaka na waswas
Bad news ni kuwa sio wote tunajua package ya hizo dawa,huenda ni za TB au Pressure
 
Kama umepima na upo negative basi usimwambie huyo mwenzako, ila jiweke mbali nae
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA

MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Oya nakupa hii chukua ,kama umepima uko salama ,fanya ufanyalo mshawishi akapime iwe Kwa kudanganya au laaa,hakuna chakutumia dawa vizuri au nn ukipata umepata ,hiyo inshue kwamba kuna watu hawapati ni 1% Ndani ya milioni 60 ,subili mwezi uishe ukapime tena Ndani ya miezi mitatu ,inawezekana umepima ukiwa kwenye window period Yani Wana hawajanza kuonekana
 
Binadamu ni kiumbe hatari sana, zaidi ya mnyama. Unaishi na mtu kumbe anameza madonge na hakuambii...dah😭😭😭
Pole sana mkuu!
Alafu anasisitiza jamaa apime😂 kwahiyo raha ya huyo mwanamke ni kuusambaza
 
Mwaka wa 24 huu sijawahi umwa malaria serious mpaka kulazwa labda mafua tu huwa yananisumbua
Hongera sana Mkuu 👏👏

Kama utakuwa mdau wa physical exercises halafu uwe group O, masuala ya kuugua unaweza kuyasikia Kwa majirani tu.

Japo ni muhimu sana kuzingatia matendo hatarishi ambayo yanaweza kupelekea kupata maambukizi
 
Hongera sana Mkuu 👏👏

Kama utakuwa mdau wa physical exercises halafu uwe group O, masuala ya kuugua unaweza kuyasikia Kwa majirani tu.

Japo ni muhimu sana kuzingatia matendo hatarishi ambayo yanaweza kupelekea kupata maambukizi
Yeah ni group O
mazoezi nafanya sana
 
Back
Top Bottom