Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hongera nyingi kwa ujasiri huo...MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera nyingi kwa ujasiri huo...MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Nimepima mkuu nipo sawa alhamdullilaahNenda kapime,hiv huwa haisambazwi kirahisi Hasa kama mmja anakula dawa
Asante mkuuHongera nyingi kwa ujasiri huo...
Wee kuweza kumwambia mtu et """ twende mguu kwa mguu"""Mwambie nimeona dawa flan na nimezitilia waswas kuwa ni za hiv naomba niambie ukweli ili niwe na amani au laa twende mguu kwa mguu tukapime ili niwe na amani na niondoe shaka na waswas
Group O hatuambukizwi?Pole sana Mkuu, kama una damu group O unaweza kunusurika
Bila shaka huyo ni binti wa Mwaka 2000
Hao wengi ni risk taker, na wanacheza miguu yote kama CR7, vyema kupima nao mara tatu kabla hujaenda nao otherwise vaa helmet
Swali zuri mkuu...Ni mkeo? Mchumba? Girl friend? Au kausha damu?
Ni huyu mshangazi huwa mnabebishana hapa jf kwenye kila uzi? 😹😹😹😹Nipo nae miezi miwili mkuu imagine that situation....!
Ndo huyu wa hapa jf 😹Swali zuri mkuu...
Kiufupi sizani kama anafaa kuitwa mchumba, au girlfriend kwa age tuliyoachana..
Pia sio mke wangu ila tu naweza sema ni mpenzi wangu basiiii...
Mwenyewe anasemaga nimuite ma mdogo
Bad news ni kuwa sio wote tunajua package ya hizo dawa,huenda ni za TB au PressureMwambie nimeona dawa flan na nimezitilia waswas kuwa ni za hiv naomba niambie ukweli ili niwe na amani au laa twende mguu kwa mguu tukapime ili niwe na amani na niondoe shaka na waswas
Wee sina ma mdogo jf hapa .😂😂😂Ndo huyu wa hapa jf 😹
Wewe kumbe ndo mkorofi hivi madam 😂😂😂Ni huyu mshangazi huwa mnabebishana hapa jf kwenye kila uzi? 😹😹😹😹
Ukatoe ushuhuda kule kimasihara, kwamba chit chat imekupa mshangazi.Wewe kumbe ndo mkorofi hivi madam 😂😂😂
Oya nakupa hii chukua ,kama umepima uko salama ,fanya ufanyalo mshawishi akapime iwe Kwa kudanganya au laaa,hakuna chakutumia dawa vizuri au nn ukipata umepata ,hiyo inshue kwamba kuna watu hawapati ni 1% Ndani ya milioni 60 ,subili mwezi uishe ukapime tena Ndani ya miezi mitatu ,inawezekana umepima ukiwa kwenye window period Yani Wana hawajanza kuonekanaHabari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
Possibility ni ndogo ukilinganisha na magroup mengine, labda uwe mdau wa barabara ya vumbiGroup O hatuambukizwi?
Alafu anasisitiza jamaa apime😂 kwahiyo raha ya huyo mwanamke ni kuusambazaBinadamu ni kiumbe hatari sana, zaidi ya mnyama. Unaishi na mtu kumbe anameza madonge na hakuambii...dah😭😭😭
Pole sana mkuu!
Mwaka wa 24 huu sijawahi umwa malaria serious mpaka kulazwa labda mafua tu huwa yananisumbuaPossibility ni ndogo ukilinganisha na magroup mengine, labda uwe mdau wa barabara ya vumbi
Hongera sana Mkuu 👏👏Mwaka wa 24 huu sijawahi umwa malaria serious mpaka kulazwa labda mafua tu huwa yananisumbua
Yeah ni group OHongera sana Mkuu 👏👏
Kama utakuwa mdau wa physical exercises halafu uwe group O, masuala ya kuugua unaweza kuyasikia Kwa majirani tu.
Japo ni muhimu sana kuzingatia matendo hatarishi ambayo yanaweza kupelekea kupata maambukizi