Wiki sasa sina amani

Duh Kuna somo limeniingia Kwa ubongo.
Kuna dada mmoja hivi anakuja geto keshokutwa yaani huyo rafikize wote mameni. Hivyo basi Kwa mzingatio wa ulichofanya na stress zilizotokana na hili juu yako,
Nitaahirisha uchakataji Hadi akubali kupima umeme hospitali. Coz mi naamini Sina Ngoma sijafanya uchakataji mbususu Kwa mda sana.
Nb.
Usiishi Kwa stress hivyo.tambua hali yako ishi.nikuadithie stori Moja Kuna anko wangu Moja mkewe alipoingiwa na ujauzito mara kadhaa akaanza kuhudhuria kliniki basi pale kliniki wakaamua kumpima umeme yule dada. Haya Sasa akagundulika na Ngoma wakamwambia aende na anko ili wapime Kwa pamoja na watumie dawa if kitatokea chochote kibaya.wakapima anko mzima mkewe mbovu. Kwa mshituko yule dada akapoteza ujauzito na akamwambia mjomba siwezi kuwa nawe Tena mpenzi. Nitakuua naomba niondoke niende mbali.
Nitakukumbuka.
Ni miaka 9 Sasa mjomba anadunda mzima ka punda mkewe pia sijawahi Mona adi Leo.
 
😂😂😂😂 𝙣𝙞𝙢𝙚𝙘𝙝𝙚𝙠𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙙𝙝𝙖𝙣𝙞 𝙢𝙖𝙩𝙪𝙧𝙞𝙩𝙮 𝙫𝙞𝙡𝙚
 
Duuh mkuu acha tuuu aiseeee...
Naomba mungu iwe hivo kwangu japo kupima i cant i cant aiseee
 
Kapime, ukikuta tayari, jikubali maisha yaende. Ukikuta mzima chukua maamuzi magumu, piga chini haraka.
 
Utakufa mwenzio anapiga jaramba na arv acha kuwaza ukiweza wapelkee motoo wengine popote walipo kwa gharama zao

Sambaza upendoo huoooo
 
Pole kapime kwanza, dronedrakeeeeeeeeee🔊📢📢📢📢🔊🔊🔊 dronedrake njoo utoe ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…