Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah aiseee.Huyu Mwana hawezi kutoa chai, itakua kweli. Pole sana.
😂😂😂😂 𝙣𝙞𝙢𝙚𝙘𝙝𝙚𝙠𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙙𝙝𝙖𝙣𝙞 𝙢𝙖𝙩𝙪𝙧𝙞𝙩𝙮 𝙫𝙞𝙡𝙚Umenikumbusha Kuna dada mmoja muuza uji mtaani nilikua namzimia kinoma sasa mi siyo mpenzi wa uji lakini nikaanza tabia ya kunywa uji kila siku siku moja nimempa hela nimesimama nae karibu akafungua pochi yake ili anipe chenji eeh bana wee si nikaona kikopo cha ARV
Nilipiga zile breki za katuni
Duuh mkuu acha tuuu aiseeee...Duh Kuna somo limeniingia Kwa ubongo.
Kuna dada mmoja hivi anakuja geto keshokutwa yaani huyo rafikize wote mameni. Hivyo basi Kwa mzingatio wa ulichofanya na stress zilizotokana na hili juu yako,
Nitaahirisha uchakataji Hadi akubali kupima umeme hospitali. Coz mi naamini Sina Ngoma sijafanya uchakataji mbususu Kwa mda sana.
Nb.
Usiishi Kwa stress hivyo.tambua hali yako ishi.nikuadithie stori Moja Kuna anko wangu Moja mkewe alipoingiwa na ujauzito mara kadhaa akaanza kuhudhuria kliniki basi pale kliniki wakaamua kumpima umeme yule dada. Haya Sasa akagundulika na Ngoma wakamwambia aende na anko ili wapime Kwa pamoja na watumie dawa if kitatokea chochote kibaya.wakapima anko mzima mkewe mbovu. Kwa mshituko yule dada akapoteza ujauzito na akamwambia mjomba siwezi kuwa nawe Tena mpenzi. Nitakuua naomba niondoke niende mbali.
Nitakukumbuka.
Ni miaka 9 Sasa mjomba anadunda mzima ka punda mkewe pia sijawahi Mona adi Leo.
Sisi ni pipo mkuu
Sawa sawa mkuu ngoja nitulie kwanza....Viatu humbana aliyevivaa.Mimi nitavivaa kwa mawazo tu.
Kapime, ukikuta tayari, jikubali maisha yaende. Ukikuta mzima chukua maamuzi magumu, piga chini haraka.Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Nataka nikanunue vile vipimo vidogo tuone bana ila daahKapime, ukikuta tayari, jikubali maisha yaende. Ukikuta mzima chukua maamuzi magumu, piga chini haraka.
Sio adimu ki hivyo now days wapo wengi kama group O negative TU elewa wapo wengi kiasi now daysKama anat
Kama anatumia dawa Kwa usahihi, hawezi kukuambukiza, pia wapo watu wasio weza kupata maambukizi lakini Hawa watu ni adimu kama almasi.....Tuliza akili uamue Kwa hekima......
Kwa mustakabali wa afya yako ya akili wee kapime ila uwe tayari kwa jibu lolote na uwe tayari kukubliana na hali utaishi vyema tu.Mkuu ishu ya kupima naogopa mimi...
Naanzaje jamni
Hapana..Pole ndugu. Inaonekana amekukalia kooni. Yaani kwake hupumui ndo maana anakupelekesha tu anavyojisikia
Mmmh naogopa mkuuKwa mustakabali wa afya yako ya akili wee kapime ila uwe tayari kwa jibu lolote na uwe tayari kukubliana na hali utaishi vyema tu.
Nina ndugu yangu anao huu naongea hapa ni mwaka wa 20 anadunda tu.
Utakufa mwenzio anapiga jaramba na arv acha kuwaza ukiweza wapelkee motoo wengine popote walipo kwa gharama zaoHabari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Mkuu ebu nielekeze vzri hapo..Sio adimu ki hivyo now days wapo wengi kama group O negative TU elewa wapo wengi kiasi now days
Pole kapime kwanza, dronedrakeeeeeeeeee🔊📢📢📢📢🔊🔊🔊 dronedrake njoo utoe ushauriHabari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Daaah is so sad...Utakufa mwenzio anapiga jaramba na arv acha kuwaza ukiweza wapelkee motoo wengine popote walipo kwa gharama zao
Sambaza upendoo huoooo
Kupima siwezi, sitojaribuPole kapime kwanza, dronedrakeeeeeeeeee🔊📢📢📢📢🔊🔊🔊 dronedrake njoo utoe ushauri