Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Dawa za vidonda vya tumbo zinaishia na neno .... plazo., ... zole.. chunguza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unayemshauri sidhani hata miaka 30 kafikisha na Yeye alikuwa anavimba humu anamiliki Lishangazi aasa sijui ilikuwa ni kweli au anatuchangamsha tu?𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙞 𝙈𝙚 𝙤𝙧 𝙆𝙚?? 𝙃𝙖𝙮𝙤 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖𝙥𝙤 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 𝙝𝙯 𝙘𝙝𝙖 𝙢𝙨𝙞𝙣𝙜𝙞 𝙣𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙖𝙥𝙞𝙢𝙚 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙆𝙞𝙢𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙢𝙮𝙖 𝙗𝙖𝙖𝙙𝙖 𝙮𝙖 𝙝𝙖𝙥𝙤 𝙣𝙙𝙞𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙮𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙚..
𝙆𝙬𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙖𝙪𝙢𝙚 𝙞𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙬𝙚𝙬𝙚 𝙠𝙪𝙗𝙖𝙠𝙞 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙠𝙚𝙊 𝙖𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙢𝙗𝙪𝙠𝙞𝙯𝙞!! 𝘾𝙝𝙖 𝙢𝙨𝙞𝙣𝙜𝙞 𝙣𝙞 𝙠𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙞𝙢𝙖 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙝𝙤𝙨𝙥𝙞𝙩𝙖𝙡 𝙣𝙮𝙞𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙖𝙬𝙖𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙨𝙝𝙞𝙧𝙞𝙠𝙞 𝙩𝙚𝙣𝙙𝙤 𝙠𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙪𝙝𝙞𝙢𝙪 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙤𝙩𝙤 𝙣𝙖𝙤 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙥𝙖𝙞𝙢𝙚 𝙪𝙟𝙪𝙚 𝙝𝙖𝙡𝙄 𝙯𝙖𝙤.
𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙤 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙣𝙖𝙬𝙚 𝙪𝙥𝙤 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙝𝙞𝙞 𝙞𝙩𝙖𝙠𝙪𝙨𝙖𝙞𝙙𝙞𝙖 𝙠𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙈𝙖𝙖𝙢𝙪𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞𝙠𝙚!!
𝙎𝙪𝙖𝙡𝙖 𝙇𝙖𝙠𝙤 𝙣𝙞 𝙜𝙪𝙢𝙪 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙝𝙖𝙮𝙤 𝙣𝙙𝙞𝙤 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖 𝙖𝙬𝙖𝙡𝙞 𝙩𝙝𝙚𝙣 𝙪𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙠𝙖𝙧𝙞𝙗𝙪 𝙠𝙬𝙖 𝙪𝙨𝙝𝙖𝙪𝙧𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞𝙠𝙚..
𝙉𝘽;𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙟𝙪𝙖 𝙈𝙤𝙮𝙤 𝙬𝙖𝙠𝙤 𝙝𝙖𝙪𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖𝙮𝙚 𝘼𝘾𝙃𝘼𝙉𝘼 𝙉𝘼 𝙈𝘼𝙈𝘽𝙊 𝙔𝙊𝙏𝙀 𝙀𝙉𝘿𝙀𝙇𝙀𝙀𝙉𝙄 𝙉𝘼 𝙈𝘼𝙄𝙎𝙃𝘼 𝙏𝙐. 𝙆𝙬𝙖𝙣𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙜𝙖𝙥𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙠𝙪𝙛𝙖 𝙠𝙬𝙖 ajali😌😌
Usiogope, seems huyo ni mfuasi mzuri wa dawa, Hana madharaSawa sawa mkuu...
Ngoja nitulie tuu kwa kweli... Japo kuna mda nakua na uwoga unaosababisha hata moyo kudunda kwa nguvu
Fuatisha nilichokuambia mkuu.Nipo nae miezi miwili mkuu imagine that situation....!
Usikhofu mkuu tupo pamojaNdugu pole sana ,kichwa Cha habari iwe namba yako ili niweze kukupigia labda maana siwezi fungua huko panagoma naona tu kichwa Cha meseji basi
Hapana mkuu mimi ni A+ alafu huyu madam ni wa 87Pole sana Mkuu, kama una damu group O unaweza kunusurika
Bila shaka huyo ni binti wa Mwaka 2000
Hao wengi ni risk taker, na wanacheza miguu yote kama CR7, vyema kupima nao mara tatu kabla hujaenda nao otherwise vaa helmet
Ni hom hapa tunakaa wote..Kwa nini ufungue fungue madroo ya watu hii tabia mbaya sana ukiwa mechi ya away........
Mkapime ili kuepukana na stress ndogo ndogoHabari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Mkuu futa kauli yako ya kuwa mimi nilijitakiqMkuu Huyo Alidhamiria Kukuua Umeshaliwa Kichwa Na Israeli kwa Kujitakia. Anyway kuna kisa nimewahi kukisikia cha jirani X hapa mtaani Alikuwa civil engineer mzee alipojua kaukwaa hakutaka kamwe aulete nyumbani hapo walikuwa wamebarikiwa mtoto mmoja na hakuongeza mwingine labda huko nje. Huyo mzee alishafariki kamwacha mkewe na mwanawe wanafaidi maisha. Sisi tunaweza?!
Tajitahidi kwa kweliMkapime ili kuepukana na stress ndogo ndogo
Unalialia nini mkuu? Mbona mwenzako haogopi na anaumwa?Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Ukipima ndo utajiongezea stress maana kama ukimwi unao Hilo halipingiki Sasa chakufanya subiri mabega yaanze kupanda juu ndo uanze dozi vizuriTajitahidi kwa kweli
Kwani mliokotana wapi?Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Mabega ✅Ukipima ndo utajiongezea stress maana kama ukimwi unao Hilo halipingiki Sasa chakufanya subiri mapega yaanze kupanda juu ndo uanze dozi vizuri