Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

Chanzo chako cha taarifa ni kipi? Umeandika upotoshaji mtupu. Tangu lini shilingi ya Uganda ni bora kuliko ya Tanzania? Halafu naona kuna nyumbu zinakupa sapoti.
Unaelewa maana ya shilingi kuimarika zaidi ya nyingine yaan inapunguza gape la thamani.

Jitambue kilaza wewe!
 
Unaweza mlaumu Mwigulu mambo mengine ila sio Hela yetu vs Kenya, wakati Mwigulu anachukua hio nafasi ksh 1 ilikua tsh 22, hela ya Tanzania ilipanda sana against kenya na watu wengi Nawafahamu wamepiga pesa ya kutosha kwa kununua vitu kenya.
Nani alaumiwe, toa suluhu
 
Acha kukurupuka ,soma comment yangu hapo Juu kuhusu Hilo.

Tangu lini kushuka Kwa thamani ya Shilingi kumezuia maendeleo ikiwemo kupata maji,umeme na ugali?
Pumbavu kabisa. Maji ya uhakika yapo? Achilia mbali umeme, wananchi wanakula na kusaza ama wanakula kilichopo?
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Hapo ndiyo mtajua kuwa kazi ya Rais siyo kula na [emoji90] na mtajua ukweli wa hasara ya kuwa na marais au viongozi waliopata uongozi kwa kutumia tobo zao mbili za chini ....huo ndiyo ukweli japo wapumbavu watasema tunatukana .
 
Mbinu bora ni kutembea na Li-skafu lenye bendera ya Tanzania shingoni.
Na kujinadi kuwa mchumi aliyebobea, uchumi unaporomoka kwa kasi na hajui afanye nini!
 
Mimi ni muhanga kwa hii pia. Nilikua naplan yakwenda Nairobi miezi mochache ijayo. Budget ya safari na mambo mengine ninayoyafata huko inakost 450,000 kshs. Sasa January exch rate ilidrop mpaka 15Tzs/ks . Ambayo ilikua nitenge only 6.7m tzs. Sasa hivi ime hype to 22Tzs/Kshs.
Kusema now natakiwa nitenge almost 10m ndio nikamilishe safari yangu.
 
Hiyo hype ya 22shs umeitoa wapi?Rate ni 17.
Wacheni propoganda za kijinga na uzushi.
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Tuangalie manunuzi yetu kutoka kenya.Kama nchi au wananchi inaonekana tunanunua vitu au huduma kwa wingi sana kutoka kenya na tunauza kidogo kwenye nchi hizo.Hiyo ni moja ya sababu inayopelekea watu wazisake sana hele za kenya
 
Yawezekana kabisa wewe ni msomi wa uchumi kutoka UDSM na Wala haujui ulichokisoma

Yani kuporomoka Kwa sarafu yetu hakuna tatizo Kwa wananchi?

Wakati tunanunua mafuta Kwa bei ya juu Kwa sababu shilimgi yetu imeporomoka alafu wewe unasema Haina shida
Umemwambia ukweli mtupu. Lakini tunaweza kujizuiya kununua nje tukalima na kutengeneza hapa kwetu TZ. Haya mambo ya kununua hadi chupi (ashakum si matusi) kutoka kwa wenzetu ndio balance of trade inalalia kwetu
 
Tuangalie manunuzi yetu kutoka kenya.Kama nchi au wananchi inaonekana tunanunua vitu au huduma kwa wingi sana kutoka kenya na tunauza kidogo kwenye nchi hizo.Hiyo ni moja ya sababu inayopelekea watu wazisake sana hele za kenya
Hii sio sababu .....huwezi kwepa huduma

Solution ni kuzalisha sana ili tuuze kenya tukiuza kenya tunakuwa na akiba kubwa ya pesa yao

Kinachotucost sisi tunanunua tu bila kuuza

Ndio maana sio kenya tu mpaka dollar inapanda balaa dhidi ya shilingi yetu..
 
Unaweza kuzalisha halafu wakenya wasinunue.

sema angalia kile unanuaga sana kutoka kenya,ndiyo ukizalishe ili uuze ndani.unaweza kuta tunahangaika na maziwa ya kenya badala ya kuwawezesha wawekezaji kwenye ufugaji wa tija na viawanda vya maziwa vikapewa ruzuku.

Yaani soln ni kuwekeza kimkakati zaidi.

sasa unakuta mmsai anakamua lita kumi za maziwa kutoka kwenye ngombe 20
 
Back
Top Bottom